Maskauti wa man city wametumwa kumfuatilia mbwana samatta

gbrother

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
408
51
Kutoka kwa mwenyekiti wa simba,
ismael aden rage anadai katunzi mmiliki wa tp mazembe amemwambia kuwa wasaka vipaji wa manchester city wame2mwa kumwinda mbwana samatta ambaye samani yake ni paundi mil 10.
 
hii lugha ya Kiswahili ngumu sana, mkuu una maana vitanda, makabati, meza na mazagazaga yake yana thamani ya paundi mil 10 au Samata ana thamani ya paundi mil 10?
 
hii lugha ya Kiswahili ngumu sana, mkuu una maana vitanda, makabati, meza na mazagazaga yake yana thamani ya paundi mil 10 au Samata ana thamani ya paundi mil 10?

kaka kwa lugha za kimichezo na thread ilivyokaa nadhani ha2zungumzia suala la makabati o vi2 alivyonavyo, bali bei ya kumnunua kutoka tp mazembe
 
Kutoka kwa mwenyekiti wa simba,
ismael aden rage anadai
katunzi mmiliki wa tp mazembe amemwambia kuwa wasaka vipaji wa manchester city wame2mwa kumwinda mbwana samatta ambaye samani yake ni paundi mil 10.

Kwa kusoma hayo maelezo hapo kwenye red tu baasi siwezi kupoteza muda wangu kuitilia maanani hii sentensi.
 
paundi million 10 nani kasema? Zaidi ya bilion 20 hizo samatta hata paun million 1 hana.

Steve piener £3m
Shinji kagawa £12m
Manucho €1m

Em fkiria hao ndo naowakumbuka
 
Kauli alizkwisha toa RAGE zikawa za uongo
1.Tumeisha msajiri KENETH ASAMOAH kwa dau nono=baadae akafika uwanja wa ndege kavaa jezi ya YANGA.
2.Mapema mwanzoni mwa mwaka 2012 tunaanza ujenzi wa uwanja wetu bunju=mmh mwaka unakatika ata kibanda cha kuuza soda hawana.
3.Alisema wamemsajiri NIZAR KHALFAN=siku ya siku akiishia kumtambulisha SUMAYE
4.Aliapa YONDANI hawezi kuichezea YANGA nadhani jibu mnalo hapo

Sasa tafakarini sana kauli zake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom