Masista wa kikatoliki na Elimu

dogo kubwa

JF-Expert Member
May 21, 2016
791
695
Jamani,kuna shule ya kikatolic ya masista wa mt Mary huko Kisarawe, Wengi wanaoiendesha hiyo shule ni masista wa ki filipino.Cardinaly Pengo alitoa hekari 150,ili wajenge hiyo shule, Inachukuwa wasichana tu,wanaoishi ktk mazingira magumu sana,wanakosa ada,watoto hao watoke ktk mikoa yote Tz.

Walomaliza std 7.wanakwenda wenyewe kuwachukua,na wanawasomesha kuanzia form one mpaka chuo kikuu,kwa kipaji walichonacho.

Kama mtoto anaelekea ktk mambo ya udaktari,basi watamwendekeza kwa kipaji hicho.Shule hizo ziko ktk mabara kadhaa duniani,ktk Africa,hii ndiyo yakwanza kujengwa.

Baadaye watajenga tena ya wavulana.Jana wawata tulienda kuwatembelea. Tumeombwa tuwapelekee hao watoto ili waanze usajiri,kwaajili ya form one.

IMG-20190919-WA0000.jpeg
IMG-20190919-WA0001.jpeg
 
Ahsante kwa taarifa nzuri na za kujenga kama hizi.Naomba kujua machache kuhusu hiyo shule
1. Mawasiliano yao (namba ya simu,po box,web site nk).
2. Jinsi ya kufanya usajili wa form one.
3. Mahali ilipo hapo kisarawe (Nina wenzangu ambao huwa tunatembelea vituo vya yatima na kutoa msaada)

Ahsanteni sana.
Ninaifuatilia, nitaiweka hapa mkuu
 
Wa
Hii ndo maana ya dini. Kuna wale wanaolalamika kuwa wanatengwa na serikali wakati wao wanakazana na karate
Wanapiga Judo na kupenda milipuko na wake wengi na wabaguzi wa kitoweo wanajihusisha sana na mtandao 0713
 
Back
Top Bottom