Masista Duu Mungu anawaona kwa kuwalaghai bodaboda

masengobangu

Senior Member
Feb 25, 2014
127
131
Ndugu zangu wana Jamii forum,nimeona nilete malalamiko yangu juu ya kazi ya bodaboda na hasara zake.

Mimi ni mmiliki wa bodaboda mbili tatu nimewapa vijana ili wafanyie kazi katika kujikwamua kimaisha,sasa kila wiki hesabu hazitimii ,nikahisi hawa vijana wananiibia nikajaribu kuwabadilisha lakini hali ni ileile,nikaamua kumuuliza kwa undani kijana wangu mmoja,alililoniambia nikaona ni share na nyinyi wenzangu.

Baada ya kumbana akanieleza tatizo ni abiria wa kike MASISTA DUU,wengi wao tunawababeba lakini hawatulipi ,wanatulaghai kwa maneno laini mwisho hawatulipi hela zetu,sasa kama unavyojua abiria wengi wa bodaboda ni hao madada na ndiyo maana hesabu hazitimii,wanasema wengi wao utuhaidi wakirudi watakamilisha malipo lakini kila siku imekua kauli ile ile tu,wanawalaghai kwa kuwakumbatia na wakati mwingine uwapromise kuwapa utamu.

Nilishangaa kwa kweli !!

JE NA WENZANGU YAMEWAKUTA HAYA AU NAINGIZWA MJINI TU.
 
Fanya Utafiti kama ni kweli HELA haipatikani dreva WA chombo chako akifanya kazi vizuri hivo visingizio havina maana ina maana kila siku madem itakuwa wanapanda free.. Sio kweli nachojua labda wawe wawili au watatu wanaomzuzua dereva Ila sio kias cha kufanya asitimize hesabu.
 
Back
Top Bottom