Masikitiko yangu na wito kwa manabii na mitume wa Tanzania

Tungependa kuona picha kama hizi... Achana na kasoro ya barakoa... Kikubwa shekeli
tapatalk_1587286939720.jpeg
tapatalk_1587286932037.jpeg


Jr
 
Siku 4 zilizopita jua lilichomoza majira ya jioni hapa DAR basi huyo tapeli(gwajima) alijipigia promo kuwa maombi yake aliyofanya bwana amejibu Kwa njia ya moto, yaani Kwa kifupi hawa matapeli wa Imani wanajua kutumia fursa kadri zinavyojitokeza

Kila kitu kwao ni fursaaa
Hapo sipati picha kelele za mayowe zilivyotoka kwa wafuasi.
 
Ila hawa mitume na manabii hapo ndio ninapowashangaa,janga kama hili hata kuchangia vifaa tuu vya kupambana na hili wako kimyaa..... Hata vipofu waohawawashauri aisee.
 
Back
Top Bottom