Masikitiko yangu juu ya mtazamo hasi kwa wand UDOM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masikitiko yangu juu ya mtazamo hasi kwa wand UDOM

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by nyopa84, Jan 23, 2011.

 1. n

  nyopa84 Member

  #1
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habar wana jf. Napenda niwasilishe masikitiko yangu juu ya mtazamo ambao wana jf mmejijengea juu ya chuo hiki. Lakin hii yote imetokana mambo makuu ma tatu. Kwanza ni kusadikika kama chuo hiki ni cha ccm au cha kata. Pili ni kutokana na kitendo cha vijana wachache ambao walitumwa na kupewa hela na vigogo ili kumchangia mkwere achukue fomu ya urais na kupita bila kupingwa, na tatu ni kitendo cha bw thobias kusoma tamko la kulaan kitendo cha wabunge wa chadema kususia hotuba ya mkwere. UKWELI WA MAMBO. Udom kuna wana harakati wa ukweli katika kuleta mabadiliko ya kweli katika nchi hii. Ndio wengi wetu nikiwepo mimi tumechangia kwa kias kikubwa kuwezesha ushindi wa chadema majimboni kwetu. Lakini watu wachache kwa maslah yao binafsi wanatumia hasty generalization kutuchafua na sisi wana harakati. MAOMBI. ondoeni mtazamo potofu kuhusu Udom kwani wanaharakati ni wengi kuliko hao wajinga ambao elimu yao bado haija wakomboa. TUUNGANE KWA PAMOJA KATIKA HARAKATI ZA UKWELI KATIKA KUIKOMBOA NCHI YETU KUTOKA KWA MKOLONI MWEUSI THITHIEM. Dent udom
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Inawezekana unachosema ni kweli. Viongozi wa cdm jaribuni kupima upepo pale udom.
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Nyinyi mliojitambua jitokezeni hadharani na kuwakomboa wenzenu
  Tukijenga taifa imara lenye katiba nzuri haya matatizo ya migomo,bodi za mikopo yatabaki historia
  Wafichueni hao mamluki na muwaeleweshe rushwa ya cku moja haitawasaidia maishani mwao kamwe!
  Hongera kijana Nyopa84
   
 4. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  udom ni mtaji mzuri cdm dodoma.naomba tuwaelewe. maandamano ya jana waliyatia shime sana.it has been a strategic intervention to end


  ccm oolegacy here. tuungane tuwasaidie. kuna viongozi wa juu wa udom wanatekeleza agizo la kikwete kufelisha wanafunzi wanaoonekana sio ccm.jana waliongea kwa uchungu sana. tunaomba wana udom muwataje kwa majina wakuu hswa hapa ili tuanze kushughulika nao.pia muwataje hao waliowekwa kwenye program ya kufelishwa tuanze kufuatilia!
   
 5. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,115
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kwa kudhiirisha ilo kwamba wana Udom wanaangalia taifa linavyokwenda na kupaza sauti zao ndivyo jana bila uwoga 2lilaani mauaji ya Arusha na kutoa mchango wa rambirambi mbele ya mamia ya watu walioudhuria mkutano jana Dodoma kwa mashujaa wetu.
   
 6. k

  kagarara Senior Member

  #6
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawapongeza udom, kwan sasa mmekuwa waelewa wazuri na watu wenye machungu na nchi hii. Sasa naamini udom siyo ya kubeza tena! Kazi sasa ni moja; 'Kuikomboa nchi kupitia cdm'
   
 7. n

  nyopa84 Member

  #7
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aluta continyua kaka tuunganishe nguvu ya umma kwa pamoja ili cku 1 tuimbe wimbo wa ushindi. TZ BILA CCM INAWEZEKANA......!!!
   
 8. S

  SIMONBICHWA S Member

  #8
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Udom msipowazomea hao wakina Thobias na uongozi wenu mtazidiwa hata na vyuo vya diploma. Msiogope kufelishwa na wanathithiemu,hata thithi Udsm dhamani tulibanwa hivyo,lkn misho wake tulichomoka.
   
 9. n

  nyopa84 Member

  #9
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tulishikia sana bango kuhusu vitendo walivyo fanya. Kama bw thobias tulimshinikiza ajiuzuru na aombe rdhi thrgh mass media japo hajafanya hivyo bt wamejifunza ndio maana nowadayz wameacha kuropoka hovyo..!!
   
Loading...