Tatum ahahaahaahaa Mungu tusaidieWashauri: Faiza, Tallest, Tatum...nk
Jaman jinga lao cjui halipwi ela yake au ujinga umemuisha maana haonekan kabsa?Hata wale wanaojiita "certified fool" kina jingalao wameshindwa kutoa "maoni" yao ya kipumbavu.
Washauri ni kina palamagamba kabudiNdio maana huwa watu wanauliza kama raisi ana washauri? na ni kina nani?
Wakiwa huko kwenye magwanda wanakuwa na akili ila wakihamia kijani akili huwa zinapoteaChadema ina vichwa Sana Hadi natàmani wangekuwa ccm