Masikitiko Mengi; Hata Hivyo Weekend Njema..

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
Ndugu wana JF, ni weekend iliyozingirwa na masikitiko hapa na pale. Hata hivyo matumaini yapo na nawatakia weekend njema wote.

[media]http://www.youtube.com/watch?v=3QJse82M6BM[/media]

Tafadhali bonyeza picha kuangalia video.

SteveD.
 
Pia kuna mwimbo mwingine huu hapa.

[media]http://www.youtube.com/watch?v=q_R_xsAZPFc[/media]

SteveD.
 
Safi sana SteveD,

Nimefurahi kwa kufikisha 'ujumbe wa meseji' huu. Walau umeonesha kuwa videos zinaweza kuwekwa JF kirahisi.

Nice w/end baba



Invisible, Ahsante kwa hilo.
Kuhusu video ambayo haina 'ujumbe wa meseji' sikuweza kuipata, nilijitahidi kutafuta kotekote lakini wapi...niliyoipata ni hiyo hiyo. Nadhani tuko kwenye anga moja tunaloongelea hapa.

SteveD.
 
Back
Top Bottom