Masikitiko ateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya TBS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masikitiko ateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya TBS

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Madcheda, Mar 4, 2013.

 1. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2013
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  nimepata tetesi ndugu masikitiko amechaguliwa kua mkurugenzi mpya wa TBS, all the best mkuu. Kabla ajachaguliwa alikua ni director of corporate service pale pale
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2013
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,099
  Likes Received: 3,700
  Trophy Points: 280
  Wote ni hao hao! Wezi watupu!
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2013
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,611
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo aliyekaimu muda wote huo bwana Kinabo wamempiga chini? Ni lazima apogwe chini maana ni mkristu mlokole na madudu ya pale hayataki kabisa!!
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2013
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 9,768
  Likes Received: 4,658
  Trophy Points: 280
  Vipi yule Mshana?au nae alikuwa anakaimu tu?
   
 5. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2013
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kinabo alikua anaigiza/act
   
 6. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2013
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Tofautisha TBS na TBC.!
   
 7. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2013
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 9,768
  Likes Received: 4,658
  Trophy Points: 280
  Alaa...kumbe ni TBS?Aaahh nimesoma vibaya!sawa sawa nimeelewa
   
 8. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2013
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 15,787
  Likes Received: 6,183
  Trophy Points: 280
  hilo ndo jina lake!!mwenyeji wa wapi`?
   
 9. Offline User

  Offline User JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2013
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 3,703
  Likes Received: 1,332
  Trophy Points: 280
  Na yeye anakaimu pia!
   
 10. f

  frakitosho JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2013
  Joined: Dec 13, 2012
  Messages: 802
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli wana jf na watanzania wenzangu tunakoelekea ni kubaya sana kwani almost kila thread inayoletwa humu lazima iwe na element za ukabila au udini toka kwa aidha mleta thread ama wachangiaji. Si dalili nzuri na vile vile inaichafua jamii forum kwani itaonekana ni social media inayolea wabaguzi wa kidini na ukabila. Tunaelekea wapi watanzania? Kwa pamoja tukemee upuuzi huu.
   
 11. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2013
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 15,787
  Likes Received: 6,183
  Trophy Points: 280
  we ndo akiri yako imekaa kidini na kikabila!mi nimeuliza kwa maana ya jina,masikitiko!walikosa jina?
   
 12. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2013
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mtu anaitwa masikitiko?tulipata kuwa na mkurugenzi wa atcl alikuwa anaitwa chizi........
   
 13. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2013
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,339
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Hebu tupatie cv yake please..................
   
 14. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2013
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kiswahili wakati mwingine mkuu kinachekesha hivi kiswahili cha act+ni kuigiza?cyo kukaimu?
   
 15. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2013
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama ni kweli kiwa sababu habari tulizonazo toka ndani ya TBS ni kuwa CHARLES EKELEGE amerudishwa kuwa mkurugenzi mkuu pale na hii ni kwa sababu Kigoda alimuahidi lazima arudi yeye pamoja na kampuni zote zilizofungiwa
  Masikitiko ni mtu ambaye anghefaa sana kwa hiyo nafasi lakini bahati mbaya mzee wa kitu kidogo Ekelege bado ndio boss kwa msaada wa kigoda
   
 16. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2013
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  Joseph B Masikitiko, Director of co operate TBS
   
 17. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2013
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Confirmed
  Joseph B Masikitiko amechaguliwa kuwa mkurugenzi mpya wa TBS
  Hii ndio kusema kuwa yule mzee wetu Ekelege na vile vikampuni vyake feki hawatakuwepo tena kwenye viunga vya TBS.
  Habari hizi zimepokelewa kwa vifijo na nderemo pale TBS huku watu wakipeana hugs na wengine kulia kwa furaha.
  Mleta habari hizi kutoka ndani ya TBS anasema hata Masikitiko mwenyewe alikuwa hajui kama kachaguliwa.
  Kigoda kaamua kufanya kweli baada ya jina lake kuchafuliwa hivi karibuni hususan kuhusu ekelege na kampuni ya WTM ya UK ambayo alikuwa analazimisha irudishwe kwenye ukaguzi wa magari wakati hata workshop tu haina.
  Tunapenda kumpongeza kigoda kwa ujasiri alioonyesha wa kutomuonea aibu Ekerege.
  [​IMG]
  Mkurugenzi mupya tbs MASIKITIKO
   
 18. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2013
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  pigo kubwa kwa lukosi chilisosi@tenda vs matatizo
   
 19. Gomic

  Gomic Member

  #19
  Mar 4, 2013
  Joined: Dec 8, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Kweli anasikitika
   
 20. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2013
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Dah,
  Sasa pigo kwa chilisosi kivipi?
   
Loading...