Masikio ya mtoto kuchelewa kupona baada ya kutoga

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Aug 23, 2010
6,048
9,803
Habari wadau,

Moderator
Mods watanisaidia ikae jukwaa la Afya au urembo

Nina mwanangu alitogwa masikio pale m city wakamwekea hizi english gold. Na mama yake akashauriwa kumpaka spirit ili akauke vidonda.

Mambo yakaenda poa. Kimbembe kilianza baada ya kumbadili hereni akatoa za pini na kuweka za bangili. Mtoto akawa anazivuta na akaanza kutoa damu na usaha.

Nikatoa hizo hereni na kurudisha za zamani pia nikaanza kumpaka spirit upya.

Je, kuna matibabu zaidi ya haya kwa mtoto? Je nikitoa hereni na kuweka vijiti ni sahii
 
Personally sio mtaalam sana, lakini ntakueleza kutokana na experience nilioiona kwa mke wangu na pia niliobserve kwa mama yangu mzazi. Kuna watu wana ngozi delicate maeneo ya masikio. Mostly wakieka hereni za material tofauti na gold masikio yanavimba na kuwasha na pia kutoa usaha.
Kwa wife yeye akieka gold hakuna shida lakini akieka hizi sijui silver n.k masikio yanatoa usaha.
So hapo mkuu nashauri jipinde tu mwekee ya gold uone kama kutakua na reaction pia
 
Asante kwa ushauri. Nitajaribu hilo.
 
aina ya heleni mlizomvalisha nadhani zimechangia sababu anaweza kuzivuta,mvalisheni za aina aliyotobolewa unaweza ukaikunja kidogo kwa nyuma isimchomechome
 
Personally sio mtaalam sana, lakini ntakueleza kutokana na experience nilioiona kwa mke wangu na pia niliobserve kwa mama yangu mzazi. Kuna watu wana ngozi delicate maeneo ya masikio. Mostly wakieka hereni za material tofauti na gold masikio yanavimba na kuwasha na pia kutoa usaha.
Kwa wife yeye akieka gold hakuna shida lakini akieka hizi sijui silver n.k masikio yanatoa usaha.
So hapo mkuu nashauri jipinde tu mwekee ya gold uone kama kutakua na reaction pia
n kweli kabisa hili, lakini umri wa mtoto unachangia zaidi akiwa chini ya miezi minne kama ni gold avae gold kama ni silver avae silver tofauti nahapo hua hivo
 
Habari wadau,

Moderator
Mods watanisaidia ikae jukwaa la Afya au urembo

Nina mwanangu alitogwa masikio pale m city wakamwekea hizi english gold. Na mama yake akashauriwa kumpaka spirit ili akauke vidonda.

Mambo yakaenda poa. Kimbembe kilianza baada ya kumbadili hereni akatoa za pini na kuweka za bangili. Mtoto akawa anazivuta na akaanza kutoa damu na usaha.

Nikatoa hizo hereni na kurudisha za zamani pia nikaanza kumpaka spirit upya.

Je, kuna matibabu zaidi ya haya kwa mtoto? Je nikitoa hereni na kuweka vijiti ni sahii
Be careful, anaweza pata cancer hivyo vifaa mara nyingi siyo salama.
 
Back
Top Bottom