Masikini Zitto Kabwe !

Aug 10, 2011
35
13
Inauma sana na kwa kweli imenisikitisha sana, yaan Tanzania tumefikia mahali kwamba ukitetea UTAWALA BORA wewe unaonekana msaliti. Mtu kama ZITO KABWE kitendo chake cha kuhoji MAPATO na MATUMIZI ya chama tena ni utaratibu ambao unajulikana kisheria lakini leo hii anaonekana ni msaliti na hafai kabisa katika Chama !

Watu hao hao ambao ukiwahoji kuhusu MAPATO na MATUMIZI ya chama wanakuwa mbogo kiasi cha kutaka hata kukufukuza uanachama kabisa , lakini wanataka kesho tuwakabidhi nchi hii waiendeshe. Hivi kama wanashindwa kutoa hesabu za MAPATO na MATUMIZI ya taasisi yao ya chama chao tu, hivi wataweza kweli kutoa MAPATO na MATUMIZI ya nchi nzima ?

Watu hawa wakishapewa dola si ndo kila atakaehoji MAPATO na MATUMIZI ya nchi atatolewa roho. Kwa sababu wameshindwa kutoa hesabu za MAPATO na MATUMIZI kwa kipindi cha miaka minne, na hii ni kwa taasisi ndogo tu ya chama chao .Je wakikabidhiwa nchi itakuwaje ? Ndugu yangu Zito Kabwe usife moyo endelea na mapambano mpaka utawala bora utakapokuwepo !

Halafu huwa najiuliza ina maana Chadema haina WAHASIBU wa kuwaandalia ripoti ya MAPATO na MATUMIZI pamoja na Mizania ya biashara kwa kila mwaka ? Hivi Mhasibu Mkuu wa Chadema ni nani ? Ana elimu gani ? Je , Mkaguzi wa nje wa hesabu za Chadema ni nani ?
 
unapima upepo nn?nakuhakikishia kwathread hii hupati wachangiaji hata20,inamaana kamati kuu yote wajinga nawaonevu?hiyo haipo zzk alishajiona bila yy cdm itakufa sasa atavuliwa nauanachama kwausaliti wake...afu ww na yy muanzishe chama au mwende chama chamajambazi!
 
Msililie Zitto, zihurumieni nafsi zenu na Watanzania wenzenu; kwani yeye alipaswa kutosaliti tumaini na wajibu Watanzania waliompa yeye na CHADEMA.

Hizo cheap politics zenu eti sijui kufuatilia hesabu zikaguliwe ndo sababu; hazitawasaidia kamwe. Yeye Zitto saa hizi ana magari 5, ana akaunti Ulaya na Asia, ana majumba na mali za kifahari lakini ninyi mnabaki kushupalia uongo, uzushi na mambo mengine yasiyo na maana.

Kaeni muchangie majibu kumsaidia asifukuzwe uanachama. Au bado hajapata barua?
 
Inauma sana na kwa kweli imenisikitisha sana, yaan Tanzania tumefikia mahali kwamba ukitetea UTAWALA BORA wewe unaonekana msaliti. Mtu kama ZITO KABWE kitendo chake cha kuhoji MAPATO na MATUMIZI ya chama tena ni utaratibu ambao unajulikana kisheria lakini leo hii anaonekana ni msaliti na hafai kabisa katika Chama !

Watu hao hao ambao ukiwahoji kuhusu MAPATO na MATUMIZI ya chama wanakuwa mbogo kiasi cha kutaka hata kukufukuza uanachama kabisa , lakini wanataka kesho tuwakabidhi nchi hii waiendeshe. Hivi kama wanashindwa kutoa hesabu za MAPATO na MATUMIZI ya taasisi yao ya chama chao tu, hivi wataweza kweli kutoa MAPATO na MATUMIZI ya nchi nzima ?

Watu hawa wakishapewa dola si ndo kila atakaehoji MAPATO na MATUMIZI ya nchi atatolewa roho. Kwa sababu wameshindwa kutoa hesabu za MAPATO na MATUMIZI kwa kipindi cha miaka minne, na hii ni kwa taasisi ndogo tu ya chama chao .Je wakikabidhiwa nchi itakuwaje ? Ndugu yangu Zito Kabwe usife moyo endelea na mapambano mpaka utawala bora utakapokuwepo !

Halafu huwa najiuliza ina maana Chadema haina WAHASIBU wa kuwaandalia ripoti ya MAPATO na MATUMIZI pamoja na Mizania ya biashara kwa kila mwaka ? Hivi Mhasibu Mkuu wa Chadema ni nani ? Ana elimu gani ? Je , Mkaguzi wa nje wa hesabu za Chadema ni nani ?

Hayo hayo yalimpata Chacha Wangwe.

Kama ni movie, Mbowe ni kubwa la maadui.
 
wewe ndiye MM namba ngapi? make tunajua mko kazini mnapotosha ukweli halisi. Sasa hivi kavuliwa uongozi mnalia lia je akivuliwa uanachama si ndo mtarukwa akili kabisa?

Kama uko CCM umeandika uzi huu inazidi kutuonesha mnahusika kwa namna zote kwa kuanguka kisiasa kwa ZZK.

Kama uko CDM fuata misingi usifuate watu.. Kaa mbali na team zitto utakuwa msaliti kuanzia kwenye familia yako hadi kazini, halafu utapigwa chini. Kirusi hatari hiki
 
Kwani chama ni CDM tu, Vipo 18 aende akaandae walaka zake kwingine !
Mlango mmoja kaufunga mwenyewe mfungulieni mingine kama mnaomwonea HURUMA au Mnachora tu?
 
Mtu kama ZITO KABWE kitendo chake cha kuhoji MAPATO na MATUMIZI ya chama tena ni utaratibu ambao unajulikana kisheria lakini leo hii anaonekana ni msaliti na hafai kabisa katika Chama !

Watu hao hao ambao ukiwahoji kuhusu MAPATO na MATUMIZI ya chama wanakuwa mbogo kiasi cha kutaka hata kukufukuza uanachama kabisa , lakini wanataka kesho tuwakabidhi nchi hii waiendeshe. Hivi kama wanashindwa kutoa hesabu za MAPATO na MATUMIZI ya taasisi yao ya chama chao tu, hivi wataweza kweli kutoa MAPATO na MATUMIZI ya nchi nzima ?

Did you stop taking your medication??Mapato na matumizi haipo kwenye sababu 11 za kuvuliwa madaraka.
 
Habari Wadau. Najiuliza maswali mengi sana nnaposikia hoja za watetez wa Zito na wenzake kuhusu yanayoendelea but swali kuu ni kwa nini tumwamini Zito na wenzie na sio kamati kuu yenye wajumbe takribani 30 if am not mistaken. Hawa ni watu walioaminiwa na chama kwa ajili ya kuamua mustakabali wa chama badala ya wanachama wote. Sasa tusipowaamini hawa na kukubali maamuz yao tumwamini nani ? Hao watatu wanaotaka tuwaamini wana kipi cha kutuaminisha kinyume na hao takribani 30. Ni sawa sawa na vitu kwenye nyumba viwe vinapotea kila siku na wenzio wote kila cku wawe wanashaka na wewe tu lazma kutakua na tatzo upande wako. Kamati kuu imejumuisha watu wa kanda zote na dini zote so sitegemei mtu aje hapa na hoja za ukanda na udini.
 
muulize profesa Baregu
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom