Masikini wasipewe vibali kujenga mjini. Huchafua miji na vijumba vyao

Habari Wakuu!

Kama kichwa kinavyoeleza hapo, ingawaje Masikini naye mtu japokuwa hana kitu lakini hatuwezi kuukataa ukweli kuwa Masikini ndio mashetani yanayoishi na kuonekana live kwa macho yetu wenyewe.

Kuna watu hapa watasema nawasema vibaya MASIKINI, wengine watasema najisikia, nawadharau na kuwatolea maneno makali hao Masikini. Lakini nataka kusema hapa mimi mwenyewe ni masikini, hivi mambo niyasemayo hapa yananihusu hata Mimi.
Sisi masikini ni mashetani tunaoishi live katika macho ya nyama.

Tatizo la miji kuwa michafu, na watu kujenga pasipo mpangilio linasababishwa na Masikini. Unajua masikini ni mashetani hivyo hawanaga mipangilio, wapo rafu wanajenga hovyo hovyo.

Kama ingekuwa amri yangu, masikini leo hii wasingepewa ruhusa/kibali kujenga kwenye miji na majiji makubwa. Wakaishi huko porini huko kwenye mashamba wakalime.

Serikali kama inataka miji ijengwe kwa mpangilio mzuri basi lazima litolewe tamko kuwa Masikini hawatapewa kibali cha kujenga mijini, na mtu yeyote anayetaka kujenga nyumba mjini anapaswa awe na kiasi cha pesa kisichopungua milioni 50.

Masikini wawekewe sheria kali zitakazowabana ili wasilete ushetani wao Duniani.

Kama wanataka kuishi mjini basi serikali ijenge nyumba za kupanga, au mashirika na makampuni ndio yafanye kazi hiyo kujenga Apartments ili hao masikini wapange.

Matajiri sina neno nao, nafahamu wao wanamuwakilisha Mungu kwani Mungu ni tajiri, ndio maana matajiri hujenga na kuweka mambo/vitu vyao katika mpangilio mzuri.

Miji yote iliyotekwa na masikini lazima iwe michafu inayonuka, vijumba vimejengwa hovyo hovyo Kama takataka.

Masikini wajengewe miji Yao huko nje kabisa ya miji au maporini huko wakae wenyewe, au Kama wanataka kuishi mjini basi wapangishe nyumba zilizojengwa na serikali au matajiri.

Sitaki kuzungumzua habari ya machinga jinsi wanavyovuruga miji na kusababisha uchafu wakaapo barabarani.

Niishie hapa Masikini wenzangu wasije nipiga mawe, najua wataniona lakini ukweli nimewapa, wengine watanichukia lakini hilo halinipi shida kwani mashetani ni kawaida Yao kuwa na chuki.

Mashetani yakikupenda jua ni Kwa unafiki na yanakitu yanakihitaji kutoka kwako.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dodoma
PEPO TOKA πŸ‘Ή
 
Masikini wanapenda kujifariji Sana.

Mmezaliwa sehemu tofauti,
Mmekulia mahali tofauti,
Mmesoma sehemu tofauti,
Mnafanya kazi sehemu tofauti,
Mnafungua Harusi sehemu tofauti,
Mmezikwa makaburi tofauti,
Alafu leo muende kuzimu Sawa.

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Habari Wakuu!

Kama kichwa kinavyoeleza hapo, ingawaje Masikini naye mtu japokuwa hana kitu lakini hatuwezi kuukataa ukweli kuwa Masikini ndio mashetani yanayoishi na kuonekana live kwa macho yetu wenyewe.

Kuna watu hapa watasema nawasema vibaya MASIKINI, wengine watasema najisikia, nawadharau na kuwatolea maneno makali hao Masikini. Lakini nataka kusema hapa mimi mwenyewe ni masikini, hivi mambo niyasemayo hapa yananihusu hata Mimi.
Sisi masikini ni mashetani tunaoishi live katika macho ya nyama.

Tatizo la miji kuwa michafu, na watu kujenga pasipo mpangilio linasababishwa na Masikini. Unajua masikini ni mashetani hivyo hawanaga mipangilio, wapo rafu wanajenga hovyo hovyo.

Kama ingekuwa amri yangu, masikini leo hii wasingepewa ruhusa/kibali kujenga kwenye miji na majiji makubwa. Wakaishi huko porini huko kwenye mashamba wakalime.

Serikali kama inataka miji ijengwe kwa mpangilio mzuri basi lazima litolewe tamko kuwa Masikini hawatapewa kibali cha kujenga mijini, na mtu yeyote anayetaka kujenga nyumba mjini anapaswa awe na kiasi cha pesa kisichopungua milioni 50.

Masikini wawekewe sheria kali zitakazowabana ili wasilete ushetani wao Duniani.

Kama wanataka kuishi mjini basi serikali ijenge nyumba za kupanga, au mashirika na makampuni ndio yafanye kazi hiyo kujenga Apartments ili hao masikini wapange.

Matajiri sina neno nao, nafahamu wao wanamuwakilisha Mungu kwani Mungu ni tajiri, ndio maana matajiri hujenga na kuweka mambo/vitu vyao katika mpangilio mzuri.

Miji yote iliyotekwa na masikini lazima iwe michafu inayonuka, vijumba vimejengwa hovyo hovyo Kama takataka.

Masikini wajengewe miji Yao huko nje kabisa ya miji au maporini huko wakae wenyewe, au Kama wanataka kuishi mjini basi wapangishe nyumba zilizojengwa na serikali au matajiri.

Sitaki kuzungumzua habari ya machinga jinsi wanavyovuruga miji na kusababisha uchafu wakaapo barabarani.

Niishie hapa Masikini wenzangu wasije nipiga mawe, najua wataniona lakini ukweli nimewapa, wengine watanichukia lakini hilo halinipi shida kwani mashetani ni kawaida Yao kuwa na chuki.

Mashetani yakikupenda jua ni Kwa unafiki na yanakitu yanakihitaji kutoka kwako.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dodoma
Unaonajr ukaenda kuishi washington?
 
Imagine mtu anajengewa Mwendokasi alafu anakuja kunya ndani yake useme huyo sio Shetani?
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Halafu Maskini wasizunguke zunguke mjini hawana magari wanaleta tu msongamano. Mahitaji yao yapelekwe huko huko porini.
Wakionekana mjini wauwawe.
Nb: naflow kuendana na mada mie mwenyewe maskini hapa.
Hahahhahahahahhahahhahha

Nyinyi matajiri kwa kweli duh
 
Nimeona Misri nikashangaa sana ... Tajiri wa kampuni ninayopata riziki inatoka huko, ambaye ni tajiri sana .. Amepanga nyumba watu kule wanapanga tu , nyumba zinajengwa aidha na serikali au matajiri kwa ajili ya kupangisha watu ...., wakati mimi najiita nimejenga bongo .. Ni mentality za kimaskini kufikiri mtu fukara anaweza kujenga nyumba mjini..Ndio maana mipango miji inasumbua ..

Jukumu la kujenga lifanywe na serikali au taasisi zenye uwezo , kuondoa sintofahamu kwenye ujenzi wa nyumba ..
 
Uzi wa kipuuzi
 
Hawatanielewa
 
Halafu Maskini wasizunguke zunguke mjini hawana magari wanaleta tu msongamano. Mahitaji yao yapelekwe huko huko porini.
Wakionekana mjini wauwawe.
Nb: naflow kuendana na mada mie mwenyewe maskini hapa.

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Back
Top Bottom