Masikini UV-CCM kumbe ni wanafiki kiasi hiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masikini UV-CCM kumbe ni wanafiki kiasi hiki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Vumbi, Jan 21, 2011.

 1. V

  Vumbi Senior Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kutokana na tamko la UV-CCM na hoja zifuatazo
  a) Kutaka Kamati iliyo-ongozwa na Mwakiembe ijiuzulu

  Masikini UV-CCM ile kamati ilikuwa ya bunge na haikuwa ya Mwakyembe..mwakyembe hawezi wajibishwa ila bunge zima kama mnataka hivyo maana alitumwa na Bunge, masikini mmedandia ajenda/hoja, kama hamjatumwa na mafisadi basi mnatakiwa kujenga hoja upya, hayo maono na ndoto zenu mbona mmechelewa kutuambia hivyo mapema?Hata sidhani kama mna uchungu na nchi yetu tukufu ila mna uchungu na CCM yenu, naamini kwa 100% mmetumwa na Lowassa! kwa hio mnataka nani asafishwe?Lowassa?hapana haiwezekani...mmetumwa na tunafahamu hilo.

  b) Kukemea wizi sawa lakini suala la Arusha acheni ushabiki
  kwa kukemea wizi tupo pamoja lakini suala la Arusha msiwe washabiki tuliokuwepo na kupigwa mabomu tunajua,mnshabakia amani huku watu wanakufa kwa umasikini kila kunapokucha huku nyie nyie ccm mliowakaribisha hao wanyonyaji kwa tamaa ya madaraka leo hii manajidai mekurupushwa toka usingizini,eti Sla kafukuzwa Upadri mbona nyie hamuwafukuzi wezi wa rasilimali za tanzania,toka mpo madarakani nchi imenuka kwa Rushwa na mnachoganda hapo ni kitu gani si muwapishe wengine tuone mabadiliko,kwa ujumla hakuna jipya ccm ni wezi tu wamejaa huko na uchu wa madaraka wizi wa waziwazi kama mlikuwa manajua mtashinda arusha kwanini mlifanya uchaguzi bila CHADEMA kuwepo ni wizi tu ,na mnajimaliza wenyewe kabla ya kumalizwa,na zaidi mmejaa majungu,wakati wa CUF mliibuka hivi hivi mkafikiri silaha ya udini kwenu itafanya kazi kumbe ndo mnazidi kuumbuka,muwapishe wengine nchi imewashinda hii kwa uchu wenu wa mali na madaraka,wagawa rushwa wakubwa nyie.
   
 2. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Umenena. Here!!! Here!! Hawana kitu kipya hawa. Wanawatetea baba zao ambao wameshindwa kuipa maendeleo nchi hii wakiacha mamilioni wakiwa impoverished
   
 3. Comrade Mpayukaji

  Comrade Mpayukaji Senior Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  :argue:Wafa maji hao. Nani kawadanganya CCM ina hati miliki ya nchi hii. Wakafie mbali makaburu weusi hao S***t:frusty::frusty:
   
 4. k

  kiloni JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0


  Hivi watu wazima wanaweza kukaa pamoja wakapika majungu na kuteta eti fulani anavaa chupi gani!!!??
  Kweli CCM "menemene tekel na peres"
   
 5. Masaningala

  Masaningala JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 539
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Kwa ujumla wake, niwaambie UV-CCM, tamko mwafaka kwa wakati mwafaka huleta impact mwafaka katika jambo lolote. kwa haya mlioyatolea "tamko" wenzenu walishawawahi. Eleweni kitu kitu kisiwaelewe.
   
 6. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tamko lao limejaa unafiki mtupu, hakuna hata chembe ya ukweli; chukua hili suala la kuitaka serikali kutaja mmiliki halisi wa Dowans, kama kweli wanamanisha wanachosema siwangeliitaka serikali imuulize Rostam Aziz awabaini watu hao maana ndiyo anayetajwa katika uamuzi wa kesi ya Dowans kwamba alipewa "power of attorney" na wamiliki hao kuwatunzia hazina yao!
   
 7. czar

  czar JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Blah blah tupu UVCCM kujionesha wanafanya kazi. Huyo Malisa kuwa hapo alijichanganya vizuri na hao anaojaribu kuwakemea so sanaa tu. Kumbuka kwa hali iliyopo ni vigumu sana kuwa top fulani uvccm bila mkono wa fisadi.
   
 8. CPU

  CPU JF Gold Member

  #8
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mapesa ya Rostam yanapelekesha watu watoe VITAMKO mpaka sina mbavu
   
Loading...