Masikini Nape! CCM hawamwitaji tena Igunga

sasa what does that reflect of his party??? kama Nape ni national leader, na wepesi ule??

If i was Nape I would quit politics and do something else
Ingependeza kama ungeiweka hivi "If i were Nape i would quit politics and do something else"
 
Nafikiri ni wakati mzuri sana kwa ccm ku2mia fursa hii kuwatangazia wana igunga na watz kwa ujumla,ule mpango wao wa kujivua gamba,coz nahc km huo mpango umefikia tamati,so mr nauye go on bro..
 
“Nape kwa nini umekwenda Igunga?”

“Umekatazwa na Kamati Kuu usiende Igunga, sasa mbona umekwenda?” ,
“Nani amekutuma? Nani amekuruhusu?
Kijana, tafadhali usituharibie uchaguzi,”
Mukama anaripotiwa kufoka.
Hapo ni kama mzazi anamkanya mwanae mtundu,
na mwishowe anakainua na mkono mmoja, mwingine umeshika bakora.....kichapo....
 
Oldonyo,

WAGANGA NJAA UNAWAJUA? MAANA HUMU NDANI KILA KITU NAPE ANAGANGA NJAA, KWA TAARIFA SINA NJAA KIASI HICHO, HATA NIKIKAA TU NIKAFANYA KAZI ZANGU MWENYEWE BADO NAWEZA ISHI TENA MAISHA MAZURI PENGINE KULIKO WENGI WANAONIKASHIFU HUMU NA KUDAI NAGANGA NJAA...... NIMEACHIWA URITHI NA MZEE NNAUYE SIO WA PESA BALI ELIMU TENA YAKUTOSHA TU.... SIASA KWANGU NAFANYA KAMA HOBI SI AJIRA HATA KIDOGO...

MAGWANDA WENGINE POLENI SANA SANA MAAANA HUMU MSIPOMTAJA NAPE WENGINE HAMLALI.... NIMEKWENDA IGUNGA TOFAUTI NA MLIVYOBWATA HUMU NAPE HAENDI IGUNGA....MKATUNGA STORI KAVAMIWA SIJUI NA BAUNSA SIJUI NA MAGWANDA, THUBUTU YAKE HAPA TUNGEKUWA TUKIZUNGUMZA MENGINE KABISA, KAMA ANGEPATIKANA HATA WA KUGUSHA KAMBA YA VIATU....

JUZI TU NILIKUWA IGUNGA, NA HIVI WIKI IJAYO NAKWENDA TENA IGUNGA....NAJUA KINACHOWAUMA NI KUINGIA KWANGU NA KUTOKA KWANGU BILA MAFISADI KUJUA, HILI NINAHAKIKA LINAWAPASUA KICHA SANA, NA BADO.... JAMBO ZURI NIMEFANIKIWA KUWANYIMA USINGIZI MAFISADI
Hapo ktk nyekundu , naona ni kama lugha ya Udaku. Sidhani mwana siasa anaweza kutumia maneno kama hayo ya mtaani
 
Oldonyo,

WAGANGA NJAA UNAWAJUA? MAANA HUMU NDANI KILA KITU NAPE ANAGANGA NJAA, KWA TAARIFA SINA NJAA KIASI HICHO, HATA NIKIKAA TU NIKAFANYA KAZI ZANGU MWENYEWE BADO NAWEZA ISHI TENA MAISHA MAZURI PENGINE KULIKO WENGI WANAONIKASHIFU HUMU NA KUDAI NAGANGA NJAA...... NIMEACHIWA URITHI NA MZEE NNAUYE SIO WA PESA BALI ELIMU TENA YAKUTOSHA TU.... SIASA KWANGU NAFANYA KAMA HOBI SI AJIRA HATA KIDOGO...

MAGWANDA WENGINE POLENI SANA SANA MAAANA HUMU MSIPOMTAJA NAPE WENGINE HAMLALI.... NIMEKWENDA IGUNGA TOFAUTI NA MLIVYOBWATA HUMU NAPE HAENDI IGUNGA....MKATUNGA STORI KAVAMIWA SIJUI NA BAUNSA SIJUI NA MAGWANDA, THUBUTU YAKE HAPA TUNGEKUWA TUKIZUNGUMZA MENGINE KABISA, KAMA ANGEPATIKANA HATA WA KUGUSHA KAMBA YA VIATU....

JUZI TU NILIKUWA IGUNGA, NA HIVI WIKI IJAYO NAKWENDA TENA IGUNGA....NAJUA KINACHOWAUMA NI KUINGIA KWANGU NA KUTOKA KWANGU BILA MAFISADI KUJUA, HILI NINAHAKIKA LINAWAPASUA KICHA SANA, NA BADO.... JAMBO ZURI NIMEFANIKIWA KUWANYIMA USINGIZI MAFISADI

Hapo Kwenye RED, Nape unampiga kijembe Bosi wako Fisadi Kikwete kwani hata yeye ni Fisadi kwa hiyo unasema utaingia Igunga bila ya yeye kujua? Hivi Bosi wako ana wivu gani na wewe mpaka unasema utaingia Igunga bila ya yeye kujua? au unampiga Kijembe Lowassa, Rostam, Mukama na Chenge? Nape kuwa muangalifu wasije wakakuvua hilo Gamba lako unalojidai.
 
Oldonyo,

WAGANGA NJAA UNAWAJUA? MAANA HUMU NDANI KILA KITU NAPE ANAGANGA NJAA, KWA TAARIFA SINA NJAA KIASI HICHO, HATA NIKIKAA TU NIKAFANYA KAZI ZANGU MWENYEWE BADO NAWEZA ISHI TENA MAISHA MAZURI PENGINE KULIKO WENGI WANAONIKASHIFU HUMU NA KUDAI NAGANGA NJAA...... NIMEACHIWA URITHI NA MZEE NNAUYE SIO WA PESA BALI ELIMU TENA YAKUTOSHA TU.... SIASA KWANGU NAFANYA KAMA HOBI SI AJIRA HATA KIDOGO...

MAGWANDA WENGINE POLENI SANA SANA MAAANA HUMU MSIPOMTAJA NAPE WENGINE HAMLALI.... NIMEKWENDA IGUNGA TOFAUTI NA MLIVYOBWATA HUMU NAPE HAENDI IGUNGA....MKATUNGA STORI KAVAMIWA SIJUI NA BAUNSA SIJUI NA MAGWANDA, THUBUTU YAKE HAPA TUNGEKUWA TUKIZUNGUMZA MENGINE KABISA, KAMA ANGEPATIKANA HATA WA KUGUSHA KAMBA YA VIATU....

JUZI TU NILIKUWA IGUNGA, NA HIVI WIKI IJAYO NAKWENDA TENA IGUNGA....NAJUA KINACHOWAUMA NI KUINGIA KWANGU NA KUTOKA KWANGU BILA MAFISADI KUJUA, HILI NINAHAKIKA LINAWAPASUA KICHA SANA, NA BADO.... JAMBO ZURI NIMEFANIKIWA KUWANYIMA USINGIZI MAFISADI

There's a story about hicho kwenye nyekundu hapo juu......

Kuna wengine tunakuona you are genuine gem to re-impart credibility into your party. Wengine ndio sisi unaojaribu kutujibu hapo juu.

Embu bwana mdogo tuondoe shaka siye tunaokutizama kwa mtizamo chanya kidogo...waweza kutupa ukweli juu ya "your paternally true biological origin"
 
wewe ni mnafiki angalia kwenye red, kama hufaanyii siasa kwa njaa kwanini unakubali kudhalilishwa? elimu ipi iyo ya kutosha wakati kwenye hoja unatunga mipasho badala ya kujibu hoja?? mafisadi wapi unaowanyima usingizi? ina maana na wewe hao mafisadi wakikutafuta unadhani utachukua hata lisaa limoja kweli? haya tuambie ungemfanya nini kama mtu angekushika kamba za viatu? wewe ni nani hasa mpaka ujisikie kiasi hicho? wacha kushikwa kamba ya viatu Bush tuu alipigwa na kiatu wewe eti mtu angeshika kamba yangekuwa mengine? wacha kiburi dogo hujafikia starndard iyo, haya na hiyo elimu yako ya kutosha ndio ipi iyo? maana sisi tunajua wenye elimu ya kutosha huwa hawabwabwaji wala kuwa na tenzi za taarabu kama wewe, juzi ukatamba eti zitto haendi igunga anakuogopa haya leo yuko wapi? akuogopee nini wewe haswa? mimi unanipa kichechefu sana dogo bora hata ukaage kimya tuu

Oldonyo,

WAGANGA NJAA UNAWAJUA? MAANA HUMU NDANI KILA KITU NAPE ANAGANGA NJAA, KWA TAARIFA SINA NJAA KIASI HICHO, HATA NIKIKAA TU NIKAFANYA KAZI ZANGU MWENYEWE BADO NAWEZA ISHI TENA MAISHA MAZURI PENGINE KULIKO WENGI WANAONIKASHIFU HUMU NA KUDAI NAGANGA NJAA...... NIMEACHIWA URITHI NA MZEE NNAUYE SIO WA PESA BALI ELIMU TENA YAKUTOSHA TU.... SIASA KWANGU NAFANYA KAMA HOBI SI AJIRA HATA KIDOGO...

MAGWANDA WENGINE POLENI SANA SANA MAAANA HUMU MSIPOMTAJA NAPE WENGINE HAMLALI.... NIMEKWENDA IGUNGA TOFAUTI NA MLIVYOBWATA HUMU NAPE HAENDI IGUNGA....MKATUNGA STORI KAVAMIWA SIJUI NA BAUNSA SIJUI NA MAGWANDA, THUBUTU YAKE HAPA TUNGEKUWA TUKIZUNGUMZA MENGINE KABISA, KAMA ANGEPATIKANA HATA WA KUGUSHA KAMBA YA VIATU....

JUZI TU NILIKUWA IGUNGA, NA HIVI WIKI IJAYO NAKWENDA TENA IGUNGA....NAJUA KINACHOWAUMA NI KUINGIA KWANGU NA KUTOKA KWANGU BILA MAFISADI KUJUA, HILI NINAHAKIKA LINAWAPASUA KICHA SANA, NA BADO.... JAMBO ZURI NIMEFANIKIWA KUWANYIMA USINGIZI MAFISADI
 
Haha NAPE anafanya siasa za kuwatambia na wana JF...
nimeshangaa alivyosema kwamba aliingia na kutoka Igunga bila mafisadi kujua (sijamuelewa hapa nimebaki na!!!!!!)

sasa what does that reflect of his party??? kama Nape ni national leader, na wepesi ule??

If i was Nape I would quit politics and do something else
 
There's a story about hicho kwenye nyekundu hapo juu......

Kuna wengine tunakuona you are genuine gem to re-impart credibility into your party. Wengine ndio sisi unaojaribu kutujibu hapo juu.

Embu bwana mdogo tuondoe shaka siye tunaokutizama kwa mtizamo chanya kidogo...waweza kutupa ukweli juu ya "your paternally true biological origin"

hapo nilipo Bold, kuna siku nilishawahi kusema kwamba NAPE kwa Mzee Marehemu Moses Nnauye ni sawa na Lil Wayne na Baby ( Wanamuziki wa USA)
 
Msameheni kijana amesikia na ninaamini kama kuna mtu alimshauri aikubali hiyo political post kwa sasa atakuwa anafikiria upya.
 
sasa what does that reflect of his party??? kama Nape ni national leader, na wepesi ule??

If i was Nape I would quit politics and do something else

MTM usifikirie kila mtu anaujanja wa kutafuta maisha kama wewe, Wengine hawana kwa mfano kama Nape. Nape bila ya CCM hawezi kuishi, anaganga Njaa tupale Lumumba. Nape lazima atumikie Mafisadi ili Maisha yamuendee vizuri. Elimu anayojisifia nayo imemsaidia nini zaidi ya kuramba Viatu vya Mafisadi ili siku zipite. Mbona hiyo Elimu yake haija msaidia kupata Kazi? Nape bila ya CCM hawezi kuishi kama anabisha afuate ushauri wa MTM kama hajakufa njaa
 
Nape ni kijana shupavu sana na CCM ni chama kubwa. Najua mafisadi wanapumulia mashine sasa kwasababu they must go. Kuhusu Rostam kwenda Igunga ni kihelehele chake tu na wala hakuna aliyemwita huko ni namna yake ya kujipendekeza kwa CCM ili asishitakiwe kwa uhujumu uchumi wake kwa Taifa letu. Yeye alisema kuwa CCM ina siasa uchwara sasa amesahau nini tena huko? AAche unafiki.
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 18th September 2011
Posts : 3
Rep Power : 0
 
Napita tu...lakini kama ndio wewe Nape Nnauye unayetoa majibu mepesi hivi, nahofu kuamini kama kweli hiyo 'elimu uliyonayo' imekusaidia.
 
........ JAMBO ZURI NIMEFANIKIWA KUWANYIMA USINGIZI MAFISADI

Nimefurahi Nape jinsi unavyowanyima usingizi mafisadi. Tatizo dogo tu naomba tafadhali nifafanulie, miongoni mwa hao mafisadi, je Rostam Aziz naye yumo au kwa sasa ni mtu safi kabisa!
 
quote_icon.png
By Nnauye Jr
Oldonyo,

WAGANGA NJAA UNAWAJUA? MAANA HUMU NDANI KILA KITU NAPE ANAGANGA NJAA, KWA TAARIFA SINA NJAA KIASI HICHO, HATA NIKIKAA TU NIKAFANYA KAZI ZANGU MWENYEWE BADO NAWEZA ISHI TENA MAISHA MAZURI PENGINE KULIKO WENGI WANAONIKASHIFU HUMU NA KUDAI NAGANGA NJAA...... NIMEACHIWA URITHI NA MZEE NNAUYE SIO WA PESA BALI ELIMU TENA YAKUTOSHA TU.... SIASA KWANGU NAFANYA KAMA HOBI SI AJIRA HATA KIDOGO...

MAGWANDA WENGINE POLENI SANA SANA MAAANA HUMU MSIPOMTAJA NAPE WENGINE HAMLALI.... NIMEKWENDA IGUNGA TOFAUTI NA MLIVYOBWATA HUMU NAPE HAENDI IGUNGA....MKATUNGA STORI KAVAMIWA SIJUI NA BAUNSA SIJUI NA MAGWANDA, THUBUTU YAKE HAPA TUNGEKUWA TUKIZUNGUMZA MENGINE KABISA, KAMA ANGEPATIKANA HATA WA KUGUSHA KAMBA YA VIATU....

JUZI TU NILIKUWA IGUNGA, NA HIVI WIKI IJAYO NAKWENDA TENA IGUNGA....NAJUA KINACHOWAUMA NI KUINGIA KWANGU NA KUTOKA KWANGU BILA MAFISADI KUJUA, HILI NINAHAKIKA LINAWAPASUA KICHA SANA, NA BADO.... JAMBO ZURI NIMEFANIKIWA KUWANYIMA USINGIZI MAFISADI
Kwenye red you have gone too far jaribu kujirudi usijikweze kiasi hicho wewe bado kijana una safari ndefu elewa mambo huwa yanabadilika ghafula hasa kwenye masuala ya siasa..
 
oldonyo,

waganga njaa unawajua? Maana humu ndani kila kitu nape anaganga njaa, kwa taarifa sina njaa kiasi hicho, hata nikikaa tu nikafanya kazi zangu mwenyewe bado naweza ishi tena maisha mazuri pengine kuliko wengi wanaonikashifu humu na kudai naganga njaa...... Nimeachiwa urithi na mzee nnauye sio wa pesa bali elimu tena yakutosha tu.... Siasa kwangu nafanya kama hobi si ajira hata kidogo...

Magwanda wengine poleni sana sana maaana humu msipomtaja nape wengine hamlali.... Nimekwenda igunga tofauti na mlivyobwata humu nape haendi igunga....mkatunga stori kavamiwa sijui na baunsa sijui na magwanda, thubutu yake hapa tungekuwa tukizungumza mengine kabisa, kama angepatikana hata wa kugusha kamba ya viatu....

Juzi tu nilikuwa igunga, na hivi wiki ijayo nakwenda tena igunga....najua kinachowauma ni kuingia kwangu na kutoka kwangu bila mafisadi kujua, hili ninahakika linawapasua kicha sana, na bado.... Jambo zuri nimefanikiwa kuwanyima usingizi mafisadi

mbona urithi wa baba yako "elimu" unaonekana kupwaya!!

Ni fisadi yupi wewe nape umemnyima usingizi, ni fisadi yupi nape anatishwa na wewe.

Nikukumbushe kidogo, juzi tu amesimama e. Lowassa tena hadharani bungeni akaikebei serikali na ulegevu wake wa kushindwa kufanya maamuzi kazi ni kupiga kelele za maneno matupu.

Chenge alisemaje bungeni? Hiyo sikwambii tumia na wewe urithi wa baba yako ung'amue hilo.

Hawa wote hawajawahi kujibizana na kelele zako za mitahani wao wameongelea kwenye platform za serikali tena wakiwa bungeni mbele ya serikali ya chama chako. Leo unasema eti umewatisha.

Tangu el amempiga jk biti kuhusu kuzunguka kwako na kashifa za uchwara mbona haujaonekana tena ukipiga kelele mitaani.

Hauoni hata aibu mtu mzima tena msomi, katibu mweneza sera wa chama hauwezi kusimama jukwaani hadharni kukipigia chama chako kampeni kiasi cha kufikia hatua ya mawaziri kuacha kufanya kazi za kiserikali na wananchi eti wanaenda kwenye kampeini, katibu mwenezi yuko dar. Hivi una kazi gani saa hivi uko dar, inaonekana hata jukumu lako kuu katika chama chako cha magamba haujui

eti ungeguswa, wewe mtu mdogo tena unacharangwa makofi na unanyamaza kimya unabaki kulalamika na kulia tu.

Shame on you!!!!!!
 
Back
Top Bottom