Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,874
- 7,650
Wakati Daktari mwenye digrii ya Uzamivu kama yeye akipaa hadi Uingereza kuwa Balozi wa Tanzania huko, Mzamivu mbobezi, mjuvi aliyebobea Dr. Ramadhani Dau amekumbwa na kashfa nzito nzito. Eti anadaiwa ni mwizi wa fedha za umma. Amefuja fedha nyingi sana alipokuwa NSSF.
Na sasa ana kashfa ya dhulma. Dhulma tena kwa mjane. Eti Dau amemdhulumu mjane!
Na sasa ana kashfa ya dhulma. Dhulma tena kwa mjane. Eti Dau amemdhulumu mjane!