Masikini Diamond huu ndo mwanzo wake wa kufilisika

oldonyo

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
549
86
Wanajamvi leo hii kila kona kumezagaa skendo ya Diamond ya kufanya utapeli baada ya kupokea advance kutoka kwa promota na kutotokea kwenye shoo huko Arusha, promota anadai alimlipa Diamond advance pamoja na tiketi ya ndege pamoja na kugharamia garama za malazi na chakula lakini kapotezea shoo.

Inavosemekana jana watu waliingia ktk shoo lakini hadi saa nane za usiku jamaa hakutokea kilichofuata ni mashabiki kufanya vurugu na kuharibu ukumbi na madansa wa Diamond kupelekwa lupango.

Swali je huu ndo mwanzo wa kuporomoka kwa Diamond kama enzi zile za kina Mr Nice?

Nawasilisha.
 
kwanini aporomoke...hayo ni matatizo kazini nani ambaye ana uhakika hawezi kupata matatizo eneo lake la kazi,mwenyewe ashasema atafanya shoo nyingine bure kwa gharama zake mwenyewe!!!
 
"Nadhani Mr Nice inamuuma hii zaidi ya sisi"
Dogo hajui hapo alipo amefikishwa na watu anaowakimbia, hao hao ndio watamshusha"
 
ameshasahau dhiki kipindi hicho anasaga soli ya viatu kumfuata mshikaji aliyemtoa kwenye game pale Sinza
 
nahisi alikuwa anab.....ndwa na jimama lake aliiekuwa miss TZ miaka kama mi5 ilopita ambaye kila siku anatudanganya ana miaka 21......lol
 
Mmmmmmh nampa pole awaeleze tu klchomcbu mpaka hakuweza kutokea na jnc gan atawaburudsha wapnz wake wote wa atown
 
kalewa misifa huyo ndo maana anasumbua watu, wasanii wetu tz kweli elimu haipo
 
May b kuna matatizo coz huyo kjana anaga matatizo kiufupi muhim promota achonge na huyo kjana mishe ilo mfanya actimbe pande za chuga
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom