Masikini akipata...

Moyo Mashine...
Mmmh yan Toka Kaka yetu ashinde biko nasikia siku hzi Ana mashauzi, anajikuta sultan, ata kuongea siku hizi kabadilisha, mxieew yan mashauzi yote Kisa pesa za mwanamke, kweli umechelewa kuingia mjini, siku hizi mda wa kurekod single tena huna.

Kwanza nasikia ni anaburuzwa na hyo mkeii, hizo picha anazopost insta kujifanya anakula bata kuturusha roho , nyuma ya pazia anapelekeshwa kama mbwa.

Apo alipo kapewa masharti kibao na huyo dada , yani huyo dada hatakag ujinga, yan bata anakula Ila cha moto Anakiona mwenzenu msimuone hivyo , moyo unawaka moto.

Kwanza bibie anasifika kubadilisha wanaume kila Mwaka , hawezag kukaa na mwanaume mmoja kwa mda mrefu, yan Ana allergy , Sasa kaka yetu ajishaue akijua kafika mwache yamkute na yakumkuta.

Yani mtu umebarikiwa kipaji kizuri sauti unayo, unaamua uache mziki ukadange, mxieew , na nasikia Yule boyfriend wako tena humtaki, na simu zake hupokei, mji mzito huu jaman khaa, kweli pata pesa tujue tabia yako

Girlfriend , mtoto na boyfriend wote umewatelekeza kisa mkeii Ana pesa , mwanakuyatafuta mwanakuyapata, wambea tupo hapa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
SI KILA ASEMALO HUYO BINTI NI KWELI.
MENGINE ANAONGEZEA CHUMVI

Ben pol hana Mambo ya ki chiko na kipuuzi!

then yale Ni maisha yake sijajua huyu binti anataka Nini kuanza kumpaka matope kijana wa watu!

VITU VINGINE KAMA HUJUI NI BORA UKAE KIMYAAA.

nAfuu aendelezee umbeya wake kwa kina wema

Mi nauliza tu hapo nlipo bold, kipindi kile katoa picha yupo uchi kapakwa mafuta ilikua ni nini vile?
 
Mmmh yan Toka Kaka yetu ashinde biko nasikia siku hzi Ana mashauzi, anajikuta sultan, ata kuongea siku hizi kabadilisha, mxieew yan mashauzi yote Kisa pesa za mwanamke, kweli umechelewa kuingia mjini, siku hizi mda wa kurekod single tena huna.

Kwanza nasikia ni anaburuzwa na hyo mkeii, hizo picha anazopost insta kujifanya anakula bata kuturusha roho , nyuma ya pazia anapelekeshwa kama mbwa.

Apo alipo kapewa masharti kibao na huyo dada , yani huyo dada hatakag ujinga, yan bata anakula Ila cha moto Anakiona mwenzenu msimuone hivyo , moyo unawaka moto.

Kwanza bibie anasifika kubadilisha wanaume kila Mwaka , hawezag kukaa na mwanaume mmoja kwa mda mrefu, yan Ana allergy , Sasa kaka yetu ajishaue akijua kafika mwache yamkute na yakumkuta.

Yani mtu umebarikiwa kipaji kizuri sauti unayo, unaamua uache mziki ukadange, mxieew , na nasikia Yule boyfriend wako tena humtaki, na simu zake hupokei, mji mzito huu jaman khaa, kweli pata pesa tujue tabia yako

Girlfriend , mtoto na boyfriend wote umewatelekeza kisa mkeii Ana pesa , mwanakuyatafuta mwanakuyapata, wambea tupo hapa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Usimshuhudie jirani yako uongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom