Mashuka na neti kuwaka na kama kutoa miale ya moto hivi

Kama ulisoma alau ukakomea form 4 na hujui hicho ni nini basi rudi shule kadai chenji wakurudishie
 
Hizo shuka sio kabisa, nilienda kumtembelea ndugu yangu mgeni nikapelekwa chumba kina mashuka ya hivyo, yani kagiza kakiingia ukilipangusa unaona mwanga mweupe mithiri ya cheche. Nikashoboka kuchomeka chaji ya simu nkawasha kabisa, ile nimepanda kwa kitanda sijui ilikuwaje kile kincha cha kuchajia nikakiburuza na goti bahati mbaya, sina hamu nazo hizo shuka mazafanta :mad:
😁🤦😅🤣 Mkuu ulikuwa umekunywa Pombe
 
Habari za mida hii!

Hii kitu huwa naiyona sana hasa usiku nikiwa nataka kulala kama kuna kigiza flani huwa naona kama nikisugua shuka au hata neti naona kuna miale kama vitu vinametameta kwenye mashuka,

Huwa najiuliza ni vitu gani vinavyowekwa kwenye mashuka na neti mpaka unaona zinameta na kutoa miale kama ya moto. Wadau mnijuze
Kawaida sana hayo material - na + charges
 
Kuna guest niliwahi kulala yaani ile nashusha neti nahisi kupigwa shoti, kuichomekea ilibidi nijifunge matisheti mkononi otherwise ilikuwa balaa yaani ukigusa unahisi kama vitu vinalipuka halafu unapigwa shoti. Nililala kwa tabu sana siku hiyo
 
🤣🤣😅 Duu aisee balaa hili sasa ulikuwa umekunywa gambe kidogo eeh🧐
 
Habari za mida hii!

Hii kitu huwa naiyona sana hasa usiku nikiwa nataka kulala kama kuna kigiza flani huwa naona kama nikisugua shuka au hata neti naona kuna miale kama vitu vinametameta kwenye mashuka,

Huwa najiuliza ni vitu gani vinavyowekwa kwenye mashuka na neti mpaka unaona zinameta na kutoa miale kama ya moto. Wadau mnijuze
Hiyo ni Static Electricity mkuu.
 
kwa kuongeza tu hutokea pindi iyo aina ya kitambaa ikipata msuguano na mwili hasa mikono au miguu, hutoka vitu kama cheche za Moto na hua na mlio kama cheche za Moto zinaporuka. Karibuni
 
Back
Top Bottom