Mashujaa wetu: MKWAWA NA KIJEKETILE

Asha Abdala

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
1,130
44
Hawa wamakumbukwaje? Kwangu mimi hawa ndio mashujaa pamoja na Wazanzibar waliomwaga damu kwenye mapinduzi

Asha
 
hivi kweli kuna barabra hata moja Tanzania inaitwa barabara ya Kinjektile Ngware?.au hata shule ya serikali yenye jina hilo?
 
ukiuliza utaambiwa shujaa nchi hii ni nyerere tu, na wamesahau kuwa kuna makamanda walipambana kabla yake ila historia inawafinya na kumpa shavu zaidi jamaa...
 
hivi kweli kuna barabra hata moja Tanzania inaitwa barabara ya Kinjektile Ngware?.au hata shule ya serikali yenye jina hilo?

Shida serikali yetu baada ya mkoloni ilichukua falsafa ya mkoloni ya kufikiria kuwa yoyote anayeipinga serikali ni adui, kinjikitile na mkwawa ni mashujaa wa kwanza waliotufundisha kupingana na maovu, yawe yanatoka kwa Mkoloni mweupe au CCM.

Ni aibu kubwa sana kwetu kuwa hawa mashujaa hawatambuliki ipasavyo,tusingekuwa na hawa hata wakina Nyerere wasingekuwepo!
 
Back
Top Bottom