Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 636
- 1,115
Jifunze Kwanza kutofautisha L na R1,lissu alikimbia na kudai hana imani na usalama alio nao.
3,kibatala ni wakili msomi ambaye anasimamia taaruma yake pekee,labda ungesema kama nayeye ni mwanaisiasa au mwanaharakati.ndio sababu amekuwa si muhanga muda wote.ukichanganya siasa na taaluma umechagua usumbufu...