Mashujaa wa kweli Tanzania hawakumuogopa Hayati Dkt. Magufuli

1,lissu alikimbia na kudai hana imani na usalama alio nao.

3,kibatala ni wakili msomi ambaye anasimamia taaruma yake pekee,labda ungesema kama nayeye ni mwanaisiasa au mwanaharakati.ndio sababu amekuwa si muhanga muda wote.ukichanganya siasa na taaluma umechagua usumbufu...
Jifunze Kwanza kutofautisha L na R
 
Wanajamvi,

Kuna watu wanastahili nishani. Kukosa uoga kwao hakuelezeki. Wakati Mwendazake anafungwa watu, kuharibu biashara zao, kuwapakazia makosa yasiyokuwa na dhamana, na wengine kuuawa, hawa jamaa hawakunyaza kimya. Kilikuwa kipindi kigumu cha kuogopesha sana. Watu hawakuwa huru kuongelea serikali na siasa mbele ya watu wasiowafahamu. Hawa jamaa hawakuyumba. Hebu tuwataje...
1624729243287.png
 
1,lissu alikimbia na kudai hana imani na usalama alio nao.

3,kibatala ni wakili msomi ambaye anasimamia taaruma yake pekee,labda ungesema kama nayeye ni mwanaisiasa au mwanaharakati.ndio sababu amekuwa si muhanga muda wote.ukichanganya siasa na taaluma umechagua usumbufu...
Umeandika lakini kajifunze kiswahili vizuri ni taaluma na sio taaruma,ni walevi na sio warevi mwandiko wako tu.
 
Wanajamvi,

Kuna watu wanastahili nishani. Kukosa uoga kwao hakuelezeki. Wakati Mwendazake anafungwa watu, kuharibu biashara zao, kuwapakazia makosa yasiyokuwa na dhamana, na wengine kuuawa, hawa jamaa hawakunyaza kimya. Kilikuwa kipindi kigumu cha kuogopesha sana. Watu hawakuwa huru kuongelea serikali na siasa mbele ya watu wasiowafahamu. Hawa jamaa hawakuyumba. Hebu tuwataje...
CHADEMA WOTE...ukiwaondoa wapumbavu COVID 19.
 
Umeandika lkn kajifunze kiswahili vizuri ni taaluma na sio taaruma,ni walevi na sio warevi mwandiko wako tu ....
wapi hujaelewa mkuu,au unataka ukachukulie mkopo hayo maelezo!!!

mimi kusoma nimeshamaliza,niko nasaka ugali now.
 
Kwa mtu mwenye uelewa timamu lazima angemuogopa Magufuli maana alikuwa ni mgonjwa wa akili,na kichaa hana kesi ya kujibu ata akiua
Wanajamvi,

Kuna watu wanastahili nishani. Kukosa uoga kwao hakuelezeki. Wakati Mwendazake anafungwa watu, kuharibu biashara zao, kuwapakazia makosa yasiyokuwa na dhamana, na wengine kuuawa, hawa jamaa hawakunyaza kimya. Kilikuwa kipindi kigumu cha kuogopesha sana. Watu hawakuwa huru kuongelea serikali na siasa mbele ya watu wasiowafahamu. Hawa jamaa hawakuyumba. Hebu tuwataje...
 
Kwa kweli alikuwa ni "rahisi" mwenye kichaa... Hakuwa na akili ya kawaida. Nadhani waliokuwa karibu sana naye wanajua kuwa alikuwa kichaa...
Zamani wakati tunasoma Tulikuwa tunatolea mfano kwa kujibu mitihani ya Civics nchi za jirani kama za kidikteta ukiondoa Kenya.

Ilifika mahali Tzn ikawa kama hizo nchi, imagine Rais anatamka kwamba msiponichagua au kuchagua mtu wa Chama chake hata leta maendeleo,sasa huyu Rais sijui alipatwa na shetani gani
 
Kwa kweli alikuwa ni "rahisi" mwenye kichaa... Hakuwa na akili ya kawaida. Nadhani waliokuwa karibu sana naye wanajua kuwa alikuwa kichaa...
Magufuli alikuwa ni psychiatric case kabisa na hili wenzake walilijua ndio maana walikuwa wanamuogopa,imagine unarudi kazini unamkuta kichaa sitting room na ana bastola...ndicho kilichotokea Tanzania
 
Bila kuwasahau wachochezi, wanaotumika na BEBERUS, waliokosa uzalendo, kama walivyokuwa wakidai yule dhalimu mwendazake na washirika wake, hapa jamvini, Twitter Republic na popote pale duniani.

Kigogo2014

Maxence Melo
Mange Kimambi
Ben Saanane...
 
63 Reactions
Reply
Back
Top Bottom