Dah huyo mwamba alijua kumjibu JiweYule aliyemwambia nyumba yake siyo public building? Lilikuwa jibu la kitaaluma Ila natamani kujua hatma yake ilikuwaje.

Madawa ya kutibu uchi wa mama yako?Huyu alijitahidi sana kuuza madawa katika kipindi ambacho ilikuwa ni hatari kwa biashara hiyo, hakika ni shujaa.
You are entitled to your opinion, but Likwelile is another heroWala hakufanya ushujaa...Kapoteza kazi bure,kichaa huwezi shindana nae wla huwezi kuwa shujaa kwa kushindana na kichaa,tena ana bahati angeuawa kabisa
Nakubaliana na wewe Magufuli alikuwa ni Kichaa kabisa. Kuna waliomugopa kama akina Kabudi, Ndugai au Bashiru na wakabadili misimamo yao kwa sababu ya ukichaa wao.Prof Assad angeshughulika na mwenye akili timamu ningemuita shujaa sio kupambana na Mwendazake mgonjwa wa akili halafu tukuite shujaa, shujaa kwa kupambana na mgonjwa wa Mirembe?
Nyalandu anastahili credit kwa UTU aliyouonesha.Nyalandu alitema ubunge
Hao ndio mashujaa wetu 2015-2021,na sio Magufuli kama wengine wanavyotaka kutuaminishaWanajamvi,
Kuna watu wanastahili nishani. Kukosa uoga kwao hakuelezeki. Wakati Mwendazake anafungwa watu, kuharibu biashara zao, kuwapakazia makosa yasiyokuwa na dhamana, na wengine kuuawa, hawa jamaa hawakunyaza kimya. Kilikuwa kipindi kigumu cha kuogopesha sana. Watu hawakuwa huru kuongelea serikali na siasa mbele ya watu wasiowafahamu. Hawa jamaa hawakuyumba. Hebu tuwataje:
1) Tundu Lissu - Kwa kifupi tu - Huyu alindamana kupinga udikteta. Alikuwa na jeuri ya kumwita Mwendazake dikteta uchwara. Alifunguliwa kesi zisizokuwa na mashiko. Alipigwa risasi 16 na Mungu akamponya. Baadae akaja kumpinga Mwendazake katika uchaguzi! Katika mazingira na hofu iliyojengwa na Mwendazake, huu ulikuwa ni ujasiri wa kupewa nishani.
2) Lawrence Mafuru - Huyu alikuwa ni Managing Director wa NBC Bank na baadae Msajili wa Hazina. Alikuwa na hali nzuri tu ya maisha na angeweza kunyamaza tu akaendelea na maisha bila bughudha. Wakati Mwendazake anatimua timua watu waliokuwa wanapingana naye, Mafuru alidiriki kupingana na Mwendazake mchana kweupe kwenye TV wakati akijua wazi kuwa atapoteza kazi yake. Mwendazake aliwashutumu watu wa benki kuwa wanaweka fedha za serikali katika fixed deposit the kulamba faida kwa manufaa yao. Mafuru akiwa Clouds 360, alimpinga Mwendazake kwa kusema kuwa huo ni uongo kwa vile jambo hilo kwa taratibu za benki haliwezekani. Haikuchukuwa juma moja, Mafuru akafukuzwa kazi na Mwendazake.
3) Wakili Kibatala na jopo lake - Hawa jamaa wamesimama na wapinzani kwa kipindi ambacho Mwendazake alifanya Watanzania kuogopa Upinzani kama ukoma. Hawa jamaa hawakuterereka hata kidogo. Siyo wengi wenye msimamo huu ktk Tanzania. Wengi wanaangalia matumbo yao tu. Hawa jamaa wanastahili nishani kwa kutoogopa udikteta ule.
4) Mashangazi Maria Sarungi na Wakili Fatuma Karume - Hawa wamempinga Mwendazake hata pale ambapo watu waliogopa hata kukohoa katika vyumba vyao vya kulala. Wanastahili kupewa nishani ya ushajaa.
5) Taja wako kama wapo
Kama hawa ndio mashujaa wako, basi ukapimwe akili.Wanajamvi,

Huyu Mwamba yupo TBA na sharubu zake kama Jambazi la Kihindi kwenye MovieYule injinia wa magorofa. alimjibu jiwe kisomi mpaka alikaa mzee Jiwe
Approach yako siyo njema kwa Uzi huu. Kama una sababu za kupinga kuwa hawa siyo mashujaa ziweke hapaKama hawa ndio mashujaa wako, basi ukapimwe akili.
Askofu Ruwa'chi HAPANA.Membe hapana....huyo Msaliti tu!
Sheikh Ponda Issa Ponda
Askofu Niwemugizi
Ruwa'ichi
Askafu Shayo
Askofu Bagoza
Freeman Mbowe
Mchungaji Msigwa
Kama hawa ndio mashujaa wako, basi ukapimwe akili.
Hata mi ninayo hiyo softwareIP yako inaweza kukutrace na kujua machine unayotumia, watu wakakudukua mafaili yako na credentials zako unazolog in sehemu mbalimbali wakakujua kuwa ni wewe.
Hizo software mashirika ya kijasusi kama FBI, Mossad wanazo
Wakikutaka kwa udi na uvumba wanakupata tu
Kumwacha Mbowe ni dhambi kubwaWanajamvi,