Mashujaa wa kweli Tanzania hawakumuogopa Hayati Dkt. Magufuli

wajukuu zetu watakapofika vyuoni watakuja kumtumia mwendazake kama sample au subject katika maandishi yao ya kitaaluma.

hakika yule hakuwa binadamu wa kawaida, ni shetani.

keep resting in hell jpm.
Zamani wakati tunasoma Tulikuwa tunatolea mfano kwa kujibu mitihani ya Civics nchi za jirani kama za kidikteta ukiondoa Kenya.

Ilifika mahali Tzn ikawa kama hizo nchi, imagine Rais anatamka kwamba msiponichagua au kuchagua mtu wa Chama chake hata leta maendeleo,sasa huyu Rais sijui alipatwa na shetani gani
 
Mimi pia nilimsambaratisha jiwe.
susp.png
 
wajukuu zetu watakapofika vyuoni watakuja kumtumia mwendazake kama sample au subject katika maandishi yao ya kitaaluma.

hakika yule hakuwa binadamu wa kawaida, ni shetani.

keep resting in hell jpm.
Mara nyingi watu huwa wanatofautiana mitazamo yani kwamba wewe unaweza kuchagua kumtizama mtu kwa mazuri yake na mwengine akachagua kutizama mabaya, pamoja na Udikteta wa Mwendazake na kusema alikuwa anatisha ila alipofariki wapo waliyofurahi na wapo waliyomwaga machozi kwa huzuni.

Hata Baba wa taifa Mwalimu Nyerere pamoja na heshima aliyonayo na kutukuzwa ila pia kuna ambao wanamlaani hadi leo.
 
Toka Mwaka 2015 mpaka March 17 2021 wanaume walibaki wawili tu,TUNDU ANT-PASS LISSU na JOHN POMBE MAGUFULI.
Mpaka sasa nina uhakika 100% Tundulissu akifa Leo itatuchukua miaka mingi Sana kuzaliwa mtu wa aina yake
Hata Magufuli atamkumbuka huko alikoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Hawa vidume kila mmoja alikuwa tayari kufa kwa kusimamia anachokiamini,bad luck dhaifu zaidi ndio kafariki!Ila hakika wameingia kwenye historia ya Tanzania.
Mmoja kawa kilema mwengine kafariki.
 
Hebu jaribu kuwabadilisha nafasi zao, yani mweke Mwendazake nafasi ya Lissu kisha mpe Lissu nafasi ya Urais.
Umeona hapo.
Unazani mmoja bila dola angeweza fanya siasa?
 
Hebu jaribu kuwabadilisha nafasi zao, yani mweke Mwendazake nafasi ya Lissu kisha mpe Lissu nafasi ya Urais.
Umeona hapo.
Unazani mmoja bila dola angeweza fanya siasa?
siasa sio dhihaka.

ni kuminga mtu kwa hoja,ili ajifunze kwako.vinginevyo huna nafasi ya siasa zako.
 
63 Reactions
Reply
Back
Top Bottom