Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,734
- 6,292
- Thread starter
- #21
Askofu alikamatwa wiki ya mwisho ya mwezi Februari. Mapolisi wa Jiwe wakamdhihaki eti " Yule anayejiita Askofu" tunamhoji. Niliposikia vile nikajua sasa Magufuli ame cross red line. Hakumaliza wiki mbili tena.
Magufuli alidhani ana deal na maaskofu feki akina Gwajima, Lwakatale, Gamanywa na akina Pengo. Alikosea njia.
Pythagoras nimekumbuka hii statement.
Nimeanza kuingiwa na hofu tena!