Mashujaa 3 ambao historia ya Tanzania haitawasahau kamwe

Hawa ndio watanzania wa enzi hizi? Kifupi ni kwamba mwisho wao wa kujua mambo ndio huu. Unasukumwa ama na ukabila au wewe ni maamuma of your own kind. How comes unawaletea great thinkers this low grade post?
Sorry but it is your post that is of low grade! Don't speak for us, please!!! How dare you present to great thinkers a post of such low grade? Mtu ametoa hoja zake na wewe unazipinga kwa kuashiria ukabila ambapo hujui wala kabila la mtoa mada; na wala yeye hakugusia hata kidogo mambo ya ukabila. Umezidiwa kwa hoja, unaona urushe japo rungu la ukabila. This is what belittles your thread. You are entitled to disagree with whatever is raised by anybody else but do so by putting forth counter arguments. Not by stooping so low and base your disagreement on non-issues that were not even alluded to by the person who raised the point.

Samahani uzi wako umenipa kichefuchefu kwa upingaji usiojikita kwenye hoja. Hence, my reaction.
 
Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Pamoja Nanyi. Katika history ya Nchi hii Ndugu Rais wa Jamhuri ya Tanzania Ndugu John Pombe Magufuli. Ndugu Naibu wa Rais Mama Samia S Hassani Pamoja Na Ndugu Waziri Mkuu Majaliwa K Majaliwa.

Hakika History ya Nchi hii itawataja kwa Ushujaa wenu na kujitoa hata kufa kwa Ajili ya Nchi yenu.

Nimejaribu kufuatilia ziara zenu na Hotuba zenu hasa katika kipindi hiki kigumu cha Covid Hakika nimegundua Ninyi Mnastahili kuigwa Mfano kwa Kutuonyesha Njia na Kutuondolea Hofu Watanzania juu ya janga hili la corona.

Hakika Mmekua wahubiri wazuri kwenye kujaa Imani na Kutuonyesha Njia ya Kumtegemea Mungu katika kila hali.

Japo kuna baadhi ya Watu ambao Mungu Aliwapa Neema ya Kuwahubiria viumbe wake na kuwa Ambia habari za Matendo makuu ya Mungu lakini corona imeondoa Ujasiri wao kwa Mungu nakuona corona ni hatari zaidi na Mungu wanae muhubiri Anaweza mambo mengine ila Corona Hawezi.

Hapa tumepata funzo kubwa kwamba majaribu na Bonde la Uvuli wa Mahuti linapokuzonga ndipo Imani yako kwa Mungu inapojionyesha kwamba uko kwa Mungu Asilimia 100 au ndio mguu 1 Ndani na 1 Nje.

Inanikumbusha wakati wanafunzi walipokua na Yesu kwenye Boti na Mawimbi yakaanza kukipiga chombo ndipo Imani yao ilipothibitika kwamba Pamoja kwamba wako na Yesu lakini hawakumwamini kwamba Anaweza kuwasaidia wasifie baharini, Yesu Mwenyewe Alipo Amka wanafunzi wake walidhani Atafadhaika kama wao lakini Yesu Aliwakemea juu ya Upungufu wa Imani yao kwake.

Jana Ndugu Rais Aliongea Neno Ambalo lilinitafakarisha sana kama Kiongozi.

Kwamba Mimi mnaoniona sija vaa Barakoa, na nipo na wasaidizi Wangu Ambao kila siku urudi makwao na Kukutana nafamilia zao na familia zao ufanya matembezi na kukutana na makundi ya watu mbona siogopi?

Akaongezea sio kwamba Mimi siogopi kufa lakini ni lazima tujue Mungu Akitaka Uondoke Hata Malaria,Ajali,kansa,sukari vinaweza kuutoa uhai wako, zaidi tumtegemee Mungu kwa kila hali.

Watu wengi hawakumwelewa Rais ila Rais Alionyesha Spirit ya Kuwa kiongozi.

Kiongozi wa kweli Yupo tayari kuhatarisha Maisha Yake kwa Ajili ya Anaowaongoza. Watu kama hawa dunia ya sasa ni wachache Mno.

Nimalizie kwa kusema Hakuna Mwenye Nguvu kuliko Mwenyezi Mungu. Alituwezesha tukaishi na corona Mwaka mzima lakini kuna Maali Watanzania tumeanguka.

Maovu yamekua mengi. Dhambi imefungua Mlango wa haya tunayo yaona na kuyasikia.

Usijidanganye kwamba Barakoa au kupiga nyungu na kuchukua tahadhari ndio utaokoka na corona.

Kumbuka Dhambi ndio mbaya kuliko hata corona.

Kama Watanzania tutaacha maovu na kumtafuta USO wa Mungu kwa siku hizi 3 Mungu Ataturehemu na Kutuondolea Mabaya haya.

Ndugu Rais. Na Naibu wake pamoja na Waziri MKUU Tunajivunia na Ninyi ndio Kielelezo kwa Taifa hili. Msirudi nyuma Tupo nyuma yenu.
Kuna haja ya wana JF kupimwa akili ?
 
Kuna mashujaa watatu wakuu Tanzania, Kinjekitile, Nyerere na Maalim Seif. Reported by ITV from Zenji
 
We jiongeleshe tuu kama hamnazo. Hili dubwasha likikukamata hutaletewa chakula hospitali na CCM wala Bashiru hatakununulia mtungi wa gesi! Likipitia ndugu au mpendwa wako ndo utaelewa kwa nini watu wanapambana kupigania uhai.

Wewe unaleta siasa nyepesi kama hizi kwenye uhai wa watu? We unadhani wanaoondoka familia zao anazitunza nani? Wanaokufa ni watu kama wewe na mimi. ukiwachoma msumari wanavuja damu. halafu just from nowhere..unaleta utani na siasa za kuabudu watu hapa. Kama JPM anafanya kazi nzuri..anafanya wajibu wake. ndo kazi aliomba kwa wananchi. kama haamini kwamba Corona ipo.

Basi atuache sisi tupaganie Maisha yetu na wapendwa wetu. Yeye mbona kila sehemu anatembea na majeshi na bunduki? Kama anaamini Mungu yupo wanajeshi wa nini sasa? Huyu Mzee atuache..wengine tumeshapoteza watu wetu wa karibu. Tunaugulia maumivu tuu hapa.

Muache mzaha kwenye mambo serious!

Umenikera sana na hii post. hata wewe ukiisoma tena utagundua umeyumba wapi.
..asante kwa mchango wako.

..inawezekana unajadiliana na vijana wasiokuwa na familia, au ndugu wanaowategemea.

..sidhani kama Baba au Mama mwenye watoto ambao hawajafikia umri wa kujitegemea anaweza kuchukulia kifo kirahisi-rahisi.
 
Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Pamoja Nanyi. Katika history ya nchi hii Ndugu Rais wa Jamhuri ya Tanzania Ndugu John Pombe Magufuli, Ndugu Naibu wa Rais Mama Samia S Hassani Pamoja na Ndugu Waziri Mkuu Majaliwa K Majaliwa.

Hakika History ya Nchi hii itawataja kwa Ushujaa wenu na kujitoa hata kufa kwa Ajili ya Nchi yenu.

Nimejaribu kufuatilia ziara zenu na Hotuba zenu hasa katika kipindi hiki kigumu cha Covid Hakika nimegundua nyinyi Mnastahili kuigwa Mfano kwa Kutuonyesha Njia na Kutuondolea Hofu Watanzania juu ya janga hili la corona.

Hakika Mmekua wahubiri wazuri kwenye kujaa Imani na Kutuonyesha Njia ya Kumtegemea Mungu katika kila hali.

Japo kuna baadhi ya Watu ambao Mungu Aliwapa Neema ya Kuwahubiria viumbe wake na kuwa Ambia habari za Matendo makuu ya Mungu lakini corona imeondoa Ujasiri wao kwa Mungu nakuona corona ni hatari zaidi na Mungu wanae muhubiri Anaweza mambo mengine ila Corona Hawezi.

Hapa tumepata funzo kubwa kwamba majaribu na Bonde la Uvuli wa Mahuti linapokuzonga ndipo Imani yako kwa Mungu inapojionyesha kwamba uko kwa Mungu Asilimia 100 au ndio mguu 1 Ndani na 1 Nje.

Inanikumbusha wakati wanafunzi walipokua na Yesu kwenye Boti na Mawimbi yakaanza kukipiga chombo ndipo Imani yao ilipothibitika kwamba Pamoja kwamba wako na Yesu lakini hawakumwamini kwamba Anaweza kuwasaidia wasifie baharini, Yesu Mwenyewe Alipo Amka wanafunzi wake walidhani Atafadhaika kama wao lakini Yesu Aliwakemea juu ya Upungufu wa Imani yao kwake.

Jana Ndugu Rais Aliongea Neno Ambalo lilinitafakarisha sana kama Kiongozi.

Kwamba Mimi mnaoniona sija vaa Barakoa, na nipo na wasaidizi Wangu Ambao kila siku urudi makwao na Kukutana nafamilia zao na familia zao ufanya matembezi na kukutana na makundi ya watu mbona siogopi?

Akaongezea sio kwamba Mimi siogopi kufa lakini ni lazima tujue Mungu Akitaka Uondoke Hata Malaria,Ajali,kansa,sukari vinaweza kuutoa uhai wako, zaidi tumtegemee Mungu kwa kila hali.

Watu wengi hawakumwelewa Rais ila Rais Alionyesha Spirit ya Kuwa kiongozi.

Kiongozi wa kweli Yupo tayari kuhatarisha Maisha Yake kwa Ajili ya Anaowaongoza. Watu kama hawa dunia ya sasa ni wachache Mno.

Nimalizie kwa kusema Hakuna Mwenye Nguvu kuliko Mwenyezi Mungu. Alituwezesha tukaishi na corona Mwaka mzima lakini kuna Maali Watanzania tumeanguka.

Maovu yamekua mengi. Dhambi imefungua Mlango wa haya tunayo yaona na kuyasikia.

Usijidanganye kwamba Barakoa au kupiga nyungu na kuchukua tahadhari ndio utaokoka na corona.

Kumbuka Dhambi ndio mbaya kuliko hata corona.

Kama Watanzania tutaacha maovu na kumtafuta USO wa Mungu kwa siku hizi 3 Mungu Ataturehemu na Kutuondolea Mabaya haya.

Ndugu Rais. Na Naibu wake pamoja na Waziri MKUU Tunajivunia na Ninyi ndio Kielelezo kwa Taifa hili. Msirudi nyuma Tupo nyuma yenu.
Dunia inapambana kuiondoa corona,rais wa tanzania anapambana kuondoa hofu juu ya corona,akili za mbuni hizi
 
Nakumbushwa hapa kuwa, hata Wana wa Israel Wakati wakiwa jangwani, walipoambiwa kumtazama nyoka wa shaba, wapo waliobeza kwa kudhani kuwa Mungu asingeweza kuwaokoa kwa kutumia alama ya Nyoka. Endelea kutokuvaa Barakoa na kuchukua tahadhari. After all, hasara ni kwako na familia yako
 
Sorry but it is your post that is of low grade! Don't speak for us, please!!! How dare you present to great thinkers a post of such low grade? Mtu ametoa hoja zake na wewe unazipinga kwa kuashiria ukabila ambapo hujui wala kabila la mtoa mada; na wala yeye hakugusia hata kidogo mambo ya ukabila. Umezidiwa kwa hoja, unaona urushe japo rungu la ukabila. This is what belittles your thread. You are entitled to disagree with whatever is raised by anybody else but do so by putting forth counter arguments. Not by stooping so low and base your disagreement on non-issues that were not even alluded to by the person who raised the point.

Samahani uzi wako umenipa kichefuchefu kwa upingaji usiojikita kwenye hoja. Hence, my reaction.
You better use Swahili ! Your English is undeniably of law quality and of unsatisfactory kind. You used the word entitled wrongly and for sure without any doubt you are also a Sukuma. Back to my point, the trio that is Maguli, Samia and Majaliwa are occupying their offices illegally ? Don't you remember that they robbed the October 28th, 2020 general election? NO HISTORY IN THIS COUNTRY WILL EVER EMBRACE THEFTY.
 
Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Pamoja Nanyi. Katika history ya nchi hii Ndugu Rais wa Jamhuri ya Tanzania Ndugu John Pombe Magufuli, Ndugu Naibu wa Rais Mama Samia S Hassani Pamoja na Ndugu Waziri Mkuu Majaliwa K Majaliwa.

Hakika History ya Nchi hii itawataja kwa Ushujaa wenu na kujitoa hata kufa kwa Ajili ya Nchi yenu.

Nimejaribu kufuatilia ziara zenu na Hotuba zenu hasa katika kipindi hiki kigumu cha Covid Hakika nimegundua nyinyi Mnastahili kuigwa Mfano kwa Kutuonyesha Njia na Kutuondolea Hofu Watanzania juu ya janga hili la corona.

Hakika Mmekua wahubiri wazuri kwenye kujaa Imani na Kutuonyesha Njia ya Kumtegemea Mungu katika kila hali.

Japo kuna baadhi ya Watu ambao Mungu Aliwapa Neema ya Kuwahubiria viumbe wake na kuwa Ambia habari za Matendo makuu ya Mungu lakini corona imeondoa Ujasiri wao kwa Mungu nakuona corona ni hatari zaidi na Mungu wanae muhubiri Anaweza mambo mengine ila Corona Hawezi.

Hapa tumepata funzo kubwa kwamba majaribu na Bonde la Uvuli wa Mahuti linapokuzonga ndipo Imani yako kwa Mungu inapojionyesha kwamba uko kwa Mungu Asilimia 100 au ndio mguu 1 Ndani na 1 Nje.

Inanikumbusha wakati wanafunzi walipokua na Yesu kwenye Boti na Mawimbi yakaanza kukipiga chombo ndipo Imani yao ilipothibitika kwamba Pamoja kwamba wako na Yesu lakini hawakumwamini kwamba Anaweza kuwasaidia wasifie baharini, Yesu Mwenyewe Alipo Amka wanafunzi wake walidhani Atafadhaika kama wao lakini Yesu Aliwakemea juu ya Upungufu wa Imani yao kwake.

Jana Ndugu Rais Aliongea Neno Ambalo lilinitafakarisha sana kama Kiongozi.

Kwamba Mimi mnaoniona sija vaa Barakoa, na nipo na wasaidizi Wangu Ambao kila siku urudi makwao na Kukutana nafamilia zao na familia zao ufanya matembezi na kukutana na makundi ya watu mbona siogopi?

Akaongezea sio kwamba Mimi siogopi kufa lakini ni lazima tujue Mungu Akitaka Uondoke Hata Malaria,Ajali,kansa,sukari vinaweza kuutoa uhai wako, zaidi tumtegemee Mungu kwa kila hali.

Watu wengi hawakumwelewa Rais ila Rais Alionyesha Spirit ya Kuwa kiongozi.

Kiongozi wa kweli Yupo tayari kuhatarisha Maisha Yake kwa Ajili ya Anaowaongoza. Watu kama hawa dunia ya sasa ni wachache Mno.

Nimalizie kwa kusema Hakuna Mwenye Nguvu kuliko Mwenyezi Mungu. Alituwezesha tukaishi na corona Mwaka mzima lakini kuna Maali Watanzania tumeanguka.

Maovu yamekua mengi. Dhambi imefungua Mlango wa haya tunayo yaona na kuyasikia.

Usijidanganye kwamba Barakoa au kupiga nyungu na kuchukua tahadhari ndio utaokoka na corona.

Kumbuka Dhambi ndio mbaya kuliko hata corona.

Kama Watanzania tutaacha maovu na kumtafuta USO wa Mungu kwa siku hizi 3 Mungu Ataturehemu na Kutuondolea Mabaya haya.

Ndugu Rais. Na Naibu wake pamoja na Waziri MKUU Tunajivunia na Ninyi ndio Kielelezo kwa Taifa hili. Msirudi nyuma Tupo nyuma yenu.
Yhana 8.31 Utaijua kweli nayo nayo itakuweka huru, Je ni kweli corona imeletwa na watu waliokwenda nje kupata chanjo, pili Corona ilikwisha Tanzania au tulikuwa hatutoi takwimu? tatu tuna ushaidi upi kuwa Barakoa zinazoka nje zinaleta maambukizi.

Umezungumzia dhambi ni kweli kwenye biblia majanga kama haya chanzo chake ni dhambi, maandiko yanasema kiti cha enzi cha Mungu ni hukumu na haki. Tujiulize kweli tunatenda haki sawaswa hapa nchini kiasi cha Mungu kutusamehe. Mlango wa dhambi uliofunguliwa ndiyo unaoleta shida hii, tujitathimini mbele za Mungu.
 
Sorry but it is your post that is of low grade! Don't speak for us, please!!! How dare you present to great thinkers a post of such low grade? Mtu ametoa hoja zake na wewe unazipinga kwa kuashiria ukabila ambapo hujui wala kabila la mtoa mada; na wala yeye hakugusia hata kidogo mambo ya ukabila. Umezidiwa kwa hoja, unaona urushe japo rungu la ukabila. This is what belittles your thread. You are entitled to disagree with whatever is raised by anybody else but do so by putting forth counter arguments. Not by stooping so low and base your disagreement on non-issues that were not even alluded to by the person who raised the point.

Samahani uzi wako umenipa kichefuchefu kwa upingaji usiojikita kwenye hoja. Hence, my reaction.
Wako umenichefua zaidi hata ya aliyeleta huu uzi. Just my reaction
 
..asante kwa mchango wako.

..inawezekana unajadiliana na vijana wasiokuwa na familia, au ndugu wanaowategemea.

..sidhani kama Baba au Mama mwenye watoto ambao hawajafikia umri wa kujitegemea anaweza kuchukulia kifo kirahisi-rahisi.
Mkuu hawa vijana wanakera! Utani wa siasa nyepesi wakati watu tunazika wapendwa wetu kila kukicha. Halafu hii ya kukimbilia dini ni uzandiki..mbona pale dini inapohusika hawaikimbilii.? They do it for convenience.
 
You better use Swahili ! Your English is undeniably of law quality and of unsatisfactory kind. You used the word entitled wrongly and for sure without any doubt you are also a Sukuma. Back to my point, the trio that is Maguli, Samia and Majaliwa are occupying their offices illegally ? Don't you remember that they robbed the October 28th, 2020 general election? NO HISTORY IN THIS COUNTRY WILL EVER EMBRACE THEFTY.
  • My English is of low quality
  • I used the word entitled wrongly
  • I am also a Sukuma

I accept the first point. But your arguments are flowed. So what if my English is of low quality? Discuss the points I raised. Don't just assess my English. I partially used English because the point I was discussing was made in English. Hence, I deemed it appropriate to discuss it in the very language it was raised.

As for the word 'entitled' tell me what is wrong with the way I used it? The word means one has the right to do something, and that is exactly what I meant. Educate me what is wrong with the way I used it? As for my tribe, I am not a Sukuma, despite the avatar I use. Even if I was, so what? That is the tribalism the thread I was opposing is supposedly against. Tell me, is a Msukuma not entitled to raise a point? (I'm deliberately using again the word 'entitled' because that is exactly what I mean). You perpetrate the fallacy of bringing in irrelevant issues. For instance you dwell on purported irregularities in the October elections. What is the relevancy of that issue in the matter at hand? The issue I was opposing was the allegation of tribalism. The original thread had mentioned President Magufuli, the Vice-President Samia, and Majaliwa the PM. These three are from different tribes. By any stretch of imagination, how does one see tribalism in the common point the three made? Surely that can be anything but tribalism!

Finally, back to my English that you criticise. The last sentence that you highlight by using capitals leaves much to be desired. 'NO HISTORY IN THIS COUNTRY WILL EVER EMBRACE THEFTY'. If my English is of low quality, let others judge the quality of yours.
 
Back
Top Bottom