Mashuhuda wasimulia tukio la aliyekuwa akipiga risasi

Tusijisahaulishe kwa jirani Kenya kipindi cha uvamizi wa maduka ya westigate mall....magaidi wanne tuu(4) waliliimbisha kila aina ya nyimbo jeshi zima LA Kenya....kwa zaidi ya siku tatu...all armed forces of Kenya.

Tusitumie tukio hili kuwabeza polisi wetu,hakika wamejitahidi. Raia kwenye eneo LA tukio nahisi watakuwa walikimbia kuokoa maisha yao(labda) lakini polisi walijitolea nafsi zao kuzuia umwagikaji damu.

Mnacheka labda hamuwajui wasomali vizuri....chekeni maana mmepata platform ya kutolea kila aina ya dhihaka kwa jeshi letu LA polisi.

Jf huwa kila member ni msomi kwa mtazamo lakini mbona mambo hamuyatazami kwa usawa? Elimu yetu lazima itakuwa na shida mahali.

Nao
 
Ila huyu Gaidi itakuwa alikuwa amemiss kufa huenda hajafa siku nyingi.
Sasa Gaidi gani anavamia kizembe hivi.
Hakuwa gaidi, ni raia we kawaida aliyechoshwa na uonevu wa polisi.
 
Na kama huyu jamaa angetulia trust me wasingekuwa askari wawili tuu... huwaaa nacheka sana polis wanapojimwambafy kuwaa wapo tayar kwa lolote askari hajawahi kwenda range kwa miaka kazaa anapga risasi had 5 ndo anapata target inatia uchungu sana
True,angetulia huyu jamaa akawa angle nzuri nakwambia angewamaliza
 
jikoni cha polisi kifutwe.

kiitwe kikosi cha kudhibiti chadema

angalia Yule polissi aliyejipeleka getini ubalozi na kibastola.
alitumia akili gani
Mimi nimechoka kabisaaa.
Hivi wangetokea ndani ya ukuta wakatupa ges washawasha mbona wangemkamata kirahisi sana.
Narudia akili za .........00000
 
Mimi nimechoka kabisaaa.
Hivi wangetokea ndani ya ukuta wakatupa ges washawasha mbona wangemkamata kirahisi sana.
Narudia akili za .........00000
Yaani.
Au wasingehangaika kurushiana Risasi na yeye.
Wangetafuta snipper mmoja wanapiga ya mkononi.

Ina maana oysterbay mzima hakuna snipper.
Hili jeshi limepewa mafunzo ya kupambana na kina lema na mbowe .
 
Na kama huyu jamaa angetulia trust me wasingekuwa askari wawili tuu... huwaaa nacheka sana polis wanapojimwambafy kuwaa wapo tayar kwa lolote askari hajawahi kwenda range kwa miaka kazaa anapga risasi had 5 ndo anapata target inatia uchungu sana
Polisi watatu na mlinzi mmoja alidondosha pale pale. Alijeruhi Askari wengine nane (8).

Yule dogo Hamza ni shida
 
Acha kutisha mtu wewe mlalahoi.
Angeuwa wengine hata wafike 10.
Katika watu nawachukia sana dunia hi ni askari kwa sababu zangu binafsi.
Kongole kwa gaidi

utakufa na vidonda vya tumbo tu,polisi wapo tu hata angeua 100,na ukijichanganya bado watakupelekea moto,haijalishi hamza ni shujaa wako au mpenzi wako.
 
Kwakweli nimeumia sana na inawezekana askari wengi hufa kwenye matukio kama haya kwakuwa hawako fiti ..wanachoweza ni mikwara tu na kusamabaza maandamano

kama kuna mshikaji wako anakwambia yuko fiti kwenye risasi,basi anakudanganya ili umpe tunda tu wala sio kingine.
 
Tusijisahaulishe kwa jirani Kenya kipindi cha uvamizi wa maduka ya westigate mall....magaidi wanne tuu(4) waliliimbisha kila aina ya nyimbo jeshi zima LA Kenya....kwa zaidi ya siku tatu...all armed forces of Kenya.

Tusitumie tukio hili kuwabeza polisi wetu,hakika wamejitahidi. Raia kwenye eneo LA tukio nahisi watakuwa walikimbia kuokoa maisha yao(labda) lakini polisi walijitolea nafsi zao kuzuia umwagikaji damu.

Mnacheka labda hamuwajui wasomali vizuri....chekeni maana mmepata platform ya kutolea kila aina ya dhihaka kwa jeshi letu LA polisi.

Jf huwa kila member ni msomi kwa mtazamo lakini mbona mambo hamuyatazami kwa usawa? Elimu yetu lazima itakuwa na shida mahali.

Nao

wabongo ndio viumbe wanaojua kubwabwaja kuliko ndege yeyote.
 
Back
Top Bottom