GeniSys101
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,229
- 1,460
Huyu bingwa na utajiri wote alionao alikuwa anahangaika nn na mambo ya bara hili?
Alaf pale ukiambiwa 25 ni 25 kavu sio kama bongo
Wasalimie.Rusesabagina alilewa sifa za kujibambikia,na akafikiri anaweza kuingia rwanda kwa nguvu,sasa kagonga mwamba pole zake
Ndugu yetu huyu ALIJAALIWA roho ya upendo, ukweli na kujitoa kwa ajili ya wanaoonewa. "Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa". Mt 5:6Huyu bingwa na utajiri wote alionao alikuwa anahangaika nn na mambo ya bara hili?
hicho kilikua kisingizio lakini ukweli nikwamba alikua ameenda kuonana na majeshi yake yaliyo kua huko burundi
FBI na ubelgiji wapi na wapi ndugu???
Huyu bingwa na utajiri wote alionao alikuwa anahangaika nn na mambo ya bara hili?
Hapana ule ulikuwa ni ugaidi wa Paul Kagame.Rusesabagina alilewa sifa za kujibambikia,na akafikiri anaweza kuingia rwanda kwa nguvu,sasa kagonga mwamba pole zake
ha ha ha ha ha ha haJeneral Dallaire aliyekua boss wa majeshi ya UN wkt wa Genocide Rwanda alipoulizwa khs Movie ya Hotel Rwanda alisema:
“I think the only value of ‘Hotel Rwanda’ is the fact that it keeps the Rwandan genocide alive, but as far as content, it's Hollywood,” Dallaire said. “When people use the term Hollywood in a pejorative way, (it’s because) they produce junk like that.”
he was a foolish bratHuyu bingwa na utajiri wote alionao alikuwa anahangaika nn na mambo ya bara hili?
Halafu mnasemaga never again....subirini moto unaweza Waka tena hapoBinafsi, nilifikiri waendesha mashtaka wa Serikali ya Rwanda wange fanya juu chini ili kuhakikisha Rusesabagina anahukumiwa adhabu ya kifo - sina shaka Rusesa gotta nine lives like a CAT, yaani umetoka kwenye ndomo wa Mamba at the eleventh hour, ana bahati sana.
Kagame anataka aonekane yeye ni masiha sijui ndiyo maana Kila shujaa wa genocide anahukumiwa au kufa ili vitabu bimtaje yy peke yake...he won't last long koz hzo jamii zinajua nini maana ya visasiNinaamini kuwa,
Mungu wa haki ni LAZIMA ataingilia kati kwa kumwekea mkono wake Shujaa wa ki-Hutu aliewalinda na kuwaficha wa-Tutsi zaidi ya 1000 ili wasiuwawe.
Kagame hawezi kuendelea kuendesha nchi kama anavyotaka. AMEN
Mrembo Sankara anamnyimaje usingizi PK?Sankara alikua ni msemaji wa kundi la waasi la FLN la huyo Rusesabagina.Sankara alidakwa Kama Kuku mapema Sana huko Comoro,akaunganishwa Kwny hio case kapigwa miaka 20 jela.Watala wa ki_Afrika ni magaidi, na badala ya wao kujirekebisha, wanatwika wenzao makosa ya ugaidi. Sema mwandishi angetufafanulia uhusiano Paul Rusesabagina na Sankara anayemnyima usingizi Paul Kagame.
Lakini pia tujue, ni kwa namna gani huyu rqfiki yake alivyomlaghai, alimwambia waende Burundi kufanya nini?
Tangu 1994 mpk leo story Ni hizo hizo za he won't last longer.Sasa sijui longer maana yake Ni miaka mingapi maana jamaa yupo tu anadunda.Kagame anataka aonekane yeye ni masiha sijui ndiyo maana Kila shujaa wa genocide anahukumiwa au kufa ili vitabu bimtaje yy peke yake...he won't last long koz hzo jamii zinajua nini maana ya visasi
Nafikiri jamaa alivyogundua katua Rwanda chupi ililowa mikojo na pupu na kimsingi aligomea kushuka kwenye ile ndege😲! Walimfanyia ugaidi isee!ila jamaa nae kiazi sana kwanini ajiingize kwenye siasa da ila watu wa usalama nyoka sana nasikia rafiki yake wa kalibu ndio alimuuza walijua wanaenda burundi akashangaa ndege imetua rwanda
Watu wengi wamemjua huyu jamaa kupitia media za mabeberu,kisa eti ni fiction movie. Case yake haihusiani na movie zake na wazungu wake. Ila aliyoyafanya after getting money akaona sasa anzishi jeshi lake eti aje kuwa Rais.wewe unaesema kabambikiwa unatakakusema hata speech zake huko youtube hujazisikia?hujui kama alikua kiongozi wa kundi la waasi la FLN?kwanza huyo ni muhaini alitakiwa hukumu ya kifo,anabahati sana.
Kelele fala ww nyie wauaji tu wote pumbavu zenu na hicho kinchi chenu kama wilaya ya muleba munaoneana wivu na kuuana kama nzi ,pumbavu zenu.Rusesabagina alilewa sifa za kujibambikia,na akafikiri anaweza kuingia rwanda kwa nguvu,sasa kagonga mwamba pole zake