Mashtaka ya Ugaidi: Shujaa wa 'Hotel Rwanda', Paul Rusesabagina akutwa na hatia. Ahukumiwa kifungo cha miaka 25

Shujaa wa film ya Hotel Rwanda ambaye kesi yake ilirindima tangu mwezi February Mwaka huu, Leo hii amehukumiwa kutumikia kifungo Cha miaka 25 jela.

Awali, Rusesabagina alinukuliwa na vyombo vya habari vya Rwanda akisema hategemei kupata haki kwenye mahakama za Rwanda kwani hazipo huru na amedai kuwa kesi yake ni ya kisiasa kati yake na Paul Kagame.

Rusesabagina amekuwa akikabiliwa na kesi inayofanana na ile inayomkabili Kiongozi wa chama kikuu Cha upinzani hapa Tanzania.

Kwa habari zaidi soma page ya CNN
___________________________________
(CNN)Paul Rusesabagina, who inspired the film 'Hotel Rwanda,' has been found guilty by a court in Kigali of being part of a terror group, MRCD-FLN. Rusesabagina, along with 20 other people, was accused of conspiring to launch attacks on Rwandan territory in 2018 and 2019, resulting in at least nine deaths.

The judge, reading out the verdict on Monday said: "The court also finds that they were in this group very aware that they were committing terror acts, they wanted the terror acts committed and this is evidenced by the work that they committed while in that political party. They formed FLN which is an illegal armed group, which attacked Rwanda in 2018 and 2019 and even after that they bragged about it in different announcements and videos," the judge said.

The 66-year-old was first arrested in August 2020 and faces nine charges, including financing terrorism, murder as an act of terrorism, formation of an irregular armed group, and membership of a terrorist group, among others. Rusesabagina gained prominence for saving hundreds of Rwandans during the country's genocide by sheltering them in the hotel he managed. His story was made into the Hollywood film "Hotel Rwanda," starring Don Cheadle and Sophie Okonedo.

Hizi ndiyo zile mahakama zinazofuata maelekezo kutoka juu. Beberu huziita kangaroo courts.

Huko unapelekwa kuwapa uhalali wa kukushona mvua zilizokwisha amuliwa hata kabla ya kesi kuanza.

Hizo ndiyo zile mahakama za mwendazake na pia za huyu anayeendeleza zile kazi.

Hiiiiii bagosha!
 
Binafsi, nilifikiri waendesha mashtaka wa Serikali ya Rwanda wange fanya juu chini ili kuhakikisha Rusesabagina anahukumiwa adhabu ya kifo - sina shaka Rusesa gotta nine lives like a CAT, yaani umetoka kwenye ndomo wa Mamba at the eleventh hour, ana bahati sana.

Kwani kwa paka ahitaji hukumu ya kifo kutokea mahakamani kwa mtu kufia mikononi mwa dola?

Wako wapi kina Mawazo, Ben, wale wa kwenye viroba nk?

Ma dikteta huwa hawahitaji mahakama.

Wazimu wao ukiwapanda mbona mwamalizana kikuku tu?
 
Naomba kufahamu kuhusu huyu aliyehukumiwa na uhusika wake katika filamu ya Hotel Rwanda,,
Paul Rusesabagina ni mhutu ambae wakati wa mauaji ya kimbari Rwanda, alishiriki katika kuwaokoa wa tutsi zaidi ya 1000 akiwemo mkewe na wanae, wasiuwawe. Aliwaficha kwenye hotel aliyokuwa akifanya kazi, na kwa ushirikiano wa vikosi vya UN na kidogo AU aliweza kuwatoro kinyume na matakwa ya wahutu wenzie.
Hotel Rwanda ilikuwa ni filamu ya simulizi ya ujasiri huu aliyoufanya. Alipendwa na kuheshimika nchini na mpaka nje ya Rwanda, hataUlaya. Hatimae alikuja akawa rafiki pia wa Kagame. Uadui na Kagame ulianza alipokosoa mambo katika uendeshaji wa nchi.
Paul Rusesabagina ambae alikuwa raia wa Rwanda/Belgium alikimbia nchi na kujiunga na upinzani. Amehukumiwa miaka 25 jela kwa makosa ya kubambikiwa.
 
Safi
 
Back
Top Bottom