Mashtaka dhidi ya Viongozi kama DCs na RCs ni ufunguo wa Mashtaka dhidi ya viongozi wa juu

Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.

Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.

Let's watch and see.

kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
The current regime shall be a benchmark seeing the head of state dragged to the court after the immunity is revoked to account for the intent wrongs against humanity and entertaining retaliation against the critics
 
Nisumbuliwe na chama kilichojifia mwaka 2015 wakati mtuhumiwa wa ugaidi alipobadili gia angani. Pole sana.
Huyo "mtuhumiwa" amekuwa ni jeshi la mtu mmoja linalowanyima raha kweli. Mmejaribu kila njia ya kumaliza chama chake mmeshindwa. Sasa mnaona njia pekee ni kumwondoa yeye, mkidhani hiyo ndiyo itakuwa njia nzuri ya kukimaliza chama chake.

Lakini mambo yanavyozidi kujipambanua, inaonekana hii ndiyo itakuwa kete yenu ya mwisho na itashindwa. Matokeo yake ni kusambaratika kwenu.

Nimekujibu kwa staha pamoja na kujua ukilaza wako.
 
Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.

Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.

Let's watch and see.

kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kwa katiba ipi?
 
Haijarudi nyuma..!!! Waliomaliza madeni wakati huo kwani wamerudishiwa kilichozidi..!?
Sijakuelewa mkuu. Pengine hujaelewa tunaposema Sheria imerudi nyuma.

Ni hivi: Sheria ikitungwa leo haitengui mkataba uliyoingiwa Jana. Sasa hoja yangu ni kwamba; kwann Sheria ya mikopo ya mwaka 2018 iliwahusu hata wanufaika wa kikopo wa miaka 2018 kurudi nyuma?.

Kama hili liliwezekana basi hata mm nitaliweza
 
Huyo "mtuhumiwa" amekuwa ni jeshi la mtu mmoja linalowanyima raha kweli. Mmejaribu kila njia ya kumaliza chama chake mmeshindwa. Sasa mnaona njia pekee ni kumwondoa yeye, mkidhani hiyo ndiyo itakuwa njia nzuri ya kukimaliza chama chake.

Lakini mambo yanavyozidi kujipambanua, inaonekana hii ndiyo itakuwa kete yenu ya mwisho na itashindwa. Matokeo yake ni kusambaratika kwenu.

Nimekujibu kwa staha pamoja na kujua ukilaza wako.
Ukiona unaota ndoto za mchana kila wakati ujue karibu utakuwa chizi
 
Mbona unasema "angalizo" kwamba unataka kumaanisha ni jambo baya? Huoni kama ni jambo zuri ili viongoz wajifunze ku work within limit?
Huwezi jua anahofia mmoja wa jamaa zake au washirika wake huenda wakahukumiwa iwapo haki ikitendeka na ikionekana inatendeka.
 
Sio jambo la ajabu kwani hata Mawaziri wastaafu kama Hayati Mramba walishawahi kuwajibishwa kwa makosa yao.
 
Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.

Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.

Let's watch and see.

kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Mzee Mwendakuzimu Konyo Sana, yaani akajiongezea Kinga Kabisa ki Katiba ili apate room ya Kufanya Jinai zake
 
Back
Top Bottom