Mashtaka dhidi ya Viongozi kama DCs na RCs ni ufunguo wa Mashtaka dhidi ya viongozi wa juu

Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.

Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.

Let's watch and see.

kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Haya maono yana chembechembe za uhalisia ...Ninachowaza ni nani atafuata?
 
Hivi Marehemu hastakiwi? Ni muhimu hata kama amekufa, ahukumiwe ili kumsaidia Mungu kazi! Unafanya unyama, unapoteza watu wasiohatia n.k halafu unakufa haraka!!
Kesi ifunguliwe ili haki itendeke kwa kuanzia na mwendazake!
Naona genye za kike zimekubana
 
Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.

Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.

Let's watch and see.

kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kwa katiba ipi!!!!
 
Vile vipengele kwenye katiba vya kuwakinga baadhi ya viongizi wa juu kutoshtakiwa baada ya uongozi viondolewe ili wawe makini zaidi. Anaweza akafanya lolote akijua hatashtakiwa.
 
Hii ni nchi au jalala la watu kujifanyia lolote wanalotaka, mradi tu ni viongozi?
Bora jalala hii nchi ni choo cha soko. Kama unaona viongozi wanajiwekea kinga ya kutokushtakiwa wakiwa madakarani na baada jua wameisha ona kuna maovu wanayafanya
 
Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.

Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.

Let's watch and see.

kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Viongozi wa juu ni wajanja. Wameshajitungia sheria yao bungeni hawashitakiwi
 
huu mchezo haukuwepo mwanzo ila kipindi cha mama samia na rais anapounyamazia utaota mizizi na uadui visasi kila rais atakaekuja viongozi watakuwa wanashitakiana kulipizia kisasi
 
Bunge wakae chini watunge sheria za kuwajibisha viongozi wa umma maana tunakoelekea ni kubaya sababu kiongozi ukiwa na mapenzi mema na taifa lako kuhakikisha kodi inakusanywa, unapambana na madawa ya kulevya mwisho wa siku wakwepa kodi na walanguzi wa madawa wanawapampu mawakili walianzashe ili viongozi wengine waogope na kwa hatua hii kazi hazitanyika kabisa na kuna watu watakuwa wanakataa teuzi. Mtu kama makonda amepambana sana kwenye kupunguza wimbi la madawa ya kulevya hakuangalia mtu usoni na kwakweli alifanikiwa sana hata kuchochea maendeleo ya Dar es salaam watumishi walikuwa waoga kufanya vitendo viovu kulingana na uongozi imara wa Makonda eti leo anapelekwa mahakamani na ukiangalia washangiliaji wengi ni wale watu wa upande wa pili na wenye elimu za chini(team la saba b) kwamba hawezi kuwa kwenye list za hao viongozi.Ziwepo kamata za maadali au tume ya migogoro kati ya viongozi wa umma na wananchi na iwe na nguvu kisheria mtu asiende mahakamani bila kupitia huko na ikishindikana kesi iende high court.
 
Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.

Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.

Let's watch and see.

kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Bado wale waliojichukulia sheria mkononi kuwachapa baadhi ya watu hadharani without the authority of the law.
 
Bunge wakae chini watunge sheria za kuwajibisha viongozi wa umma maana tunakoelekea ni kubaya sababu kiongozi ukiwa na mapenzi mema na taifa lako kuhakikisha kodi inakusanywa, unapambana na madawa ya kulevya mwisho wa siku wakwepa kodi na walanguzi wa madawa wanawapampu mawakili walianzashe ili viongozi wengine waogope na kwa hatua hii kazi hazitanyika kabisa na kuna watu watakuwa wanakataa teuzi. Mtu kama makonda amepambana sana kwenye kupunguza wimbi la madawa ya kulevya hakuangalia mtu usoni na kwakweli alifanikiwa sana hata kuchochea maendeleo ya Dar es salaam watumishi walikuwa waoga kufanya vitendo viovu kulingana na uongozi imara wa Makonda eti leo anapelekwa mahakamani na ukiangalia washangiliaji wengi ni wale watu wa upande wa pili na wenye elimu za chini(team la saba b) kwamba hawezi kuwa kwenye list za hao viongozi.Ziwepo kamata za maadali au tume ya migogoro kati ya viongozi wa umma na wananchi na iwe na nguvu kisheria mtu asiende mahakamani bila kupitia huko na ikishindikana kesi iende high court.
Hapana! Kinachotakiwa ni kuwa na 'checks and balances' ili mtu asionee kwa vile ana cheo au madaraka na pia mwingine asionewe kwa vile hana cheo na madaraka na kuwa na 'checks and balances' ni kutaka kuwepo fairness - yaani kila kiongozi wa umma au kila mtu yeyote mwenye mamlaka fulani au asiye nayo atende jambo lolote analotenda 'within legal bounds'. Hapo ndipo tutaenda sawa.
 
Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.

Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.

Let's watch and see.

kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Umeandika haya kwasababu ya kesi inayomkabili Makonda. Unataka mama Samia aogope kuacha Makonda ashitakiwe.
 
Hapana! Kinachotakiwa ni kuwa na 'checks and balances' ili mtu asionee kwa vile ana cheo au madaraka na pia mwingine asionewe kwa vile hana cheo na madaraka na kuwa na 'checks and balances' ni kutaka kuwepo fairness - yaani kila kiongozi wa umma au kila mtu yeyote mwenye mamlaka fulani au asiye nayo atende jambo lolote analotenda 'within legal bounds'. Hapo ndipo tutaenda sawa.
Uko sahihi kabisa kimsingi iwepo administrative body inayohusika na hizo allagations mfano FCC sababu kinochooneka sio uhalifu in such lakini kuna ukiukwaji katika suala zima la uongozi ambapo kimsingi hakuna binadamu aliyekamilika kila mtu ana mapungufu na kama mahakama shauri liende high court kwaajili ya judicial review.
 
Back
Top Bottom