Mashoto Tukutane hapa.

Hellow wakuu,
kama kuna member wengine wanao tumia mkono wa kushoto kama mimi hapa, Jf tukutane hapa,
lengo ni kuwaonyesha hawa wanautumia kulia kama sisi mashoto ni watu wenye upeo mkubwa akilini, wenye mawazo chanya na pia watu tunaopenda sana na jamii kulio wao,
Kama kuna mashoto mwengine kama mm comment hapa tujuane
Mashoto oyeeee!!!
 
Back
Top Bottom