Mashoto Tukutane hapa.

Ultimate

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
713
1,738
Hellow wakuu,
kama kuna member wengine wanao tumia mkono wa kushoto kama mimi hapa, Jf tukutane hapa,
lengo ni kuwaonyesha hawa wanautumia kulia kama sisi mashoto ni watu wenye upeo mkubwa akilini, wenye mawazo chanya na pia watu tunaopenda sana na jamii kulio wao,
Kama kuna mashoto mwengine kama mm comment hapa tujuane
 
Mi natumia mkono wa kushoto kuchambia... nadhani mi ni mwenzenu.
 
Hellow wakuu,
kama kuna member wengine wanao tumia mkono wa kushoto kama mimi hapa, Jf tukutane hapa,
lengo ni kuwaonyesha hawa wanautumia kulia kama sisi mashoto ni watu wenye upeo mkubwa akilini, wenye mawazo chanya na pia watu tunaopenda sana na jamii kulio wao,
Kama kuna mashoto mwengine kama mm comment hapa tujuane
 
Hellow wakuu,
kama kuna member wengine wanao tumia mkono wa kushoto kama mimi hapa, Jf tukutane hapa,
lengo ni kuwaonyesha hawa wanautumia kulia kama sisi mashoto ni watu wenye upeo mkubwa akilini, wenye mawazo chanya na pia watu tunaopenda sana na jamii kulio wao,
Kama kuna mashoto mwengine kama mm comment hapa tujuane
Special group
 
Watu mnaotumia kulia acheni wivu huwa tunatumia kushoto kufanya kazi zote ispokua mambo kadhaa kama chakula tunatumia mkono wa kulia, kusalimia, kupokea na kutoa(kulipa) fedha n.k
 
Back
Top Bottom