Mashoga wengi huwa wanakua wameamua tu wenyewe kututunuku ..................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashoga wengi huwa wanakua wameamua tu wenyewe kututunuku .....................

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by harakat, Oct 20, 2011.

 1. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Kuna sehemu nilikua nimetulia baada ya shughuli zangu za kila siku sasa hiyo sehemu niliyokua
  nimepozi akapita jamaa mmoja amejaa vizuri yaani umbo la kiume lililojengeka lakini cha kushangaza
  wale jamaa niliokua nao mmoja akasema huyu jamaa ni bwabwa kumwita kuanza kumsemesha
  kweli akawa na pozi za kike akasema anafuata gari yake gereji atarudi kweli
  akapita na gari yake anaendesha
  nikajiuliza kwamba huyu jamaa watu kisogoni kama
  kawa au utani tena nikaambiwa ukipiga unapewa na
  fedha

  nikaomba mungu atusaidie,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
  wasilisha............
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo kama mtu akitunukiwa PhD haramu wale wanaomtunuku unawaitaje?
   
 3. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  wakufunzi jamaa c anasoma night college
   
Loading...