Mashoga wa california

Kidzogolae

Senior Member
Apr 20, 2008
133
2
Jamaniieee, nyie mnaokaa majuu kwasasa, hasa USA, tunaombeni mjitahidi msijeambukizwa huo uchafu wanaoufanya wamarekani. Jana niliangalia TV nikaona jinsi sheria za california zinavyowaruhu ma homosexuals. Mimi nikiwa raisi, wakijafanya kitu kama hicho hapa Tz, napiga bunduki wote. sibakizi hata mmoja.
 
Ni jambo la kusikitisha kwa kweli...tena inabidi kumwomba Mungu aepushe generation ya watoto wetu na hili jambo. Yaani, God FORBID!!!
Ila Kid, naomba tu aikuambie kwamba it doesn't take Tanzanians to go abroad for this new epidemic to spread to our country!! Mbona tayari wapo gays and lesbians wengi tu? Tena na wenye majina makubwa katika Tz social circles.
Kitu kingine, Mh Rais Mtarajiwa Kid, nisinge kushauri kuwapiga bunduki hawa watu....nii watu kama mimi na wewe, ni kuwaelimisha tu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom