Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,246
- 5,756
Jana jioni nimetoka kwenye mishemishe nikapita hapa wazo kiwandani, nikaagiza ugali. Wakati nasubiri nikaagiza maji makubwa ya kilimanjaro, pembeni walikuwa jamaa wawili wanakunywa beer. Aisee sikuamini kama jamaa ni mashoga maana walikuwa wamelewa halafu wanabadilishana mate kama mazezeta, nikapata kinyaa nikamlipa jamaa hela ya ugali maana tayari nilishaagiza, nikaondoka na mpaka sasa nina kinyaa nikikumbuka wale maduwanzi na ndevu zao na kuvaa smart vile kumbe siyo riziki.