Mashoga na ushoga vinaongezeka kwa kasi sana Bongo

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
172,870
2,000
Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar

Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar

Sidhani kama kuna mtaa dar ambao hauna mashoga mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake haonekani kama ni shoga wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia ukimuona unasema ni kidume wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao

Hapa ofisi nayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu

Sijui kama miaka michache kutakua na wanaume marijali wengi itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8

Hali ni mbaya sana hapa dar kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar hivi tatizo ninini?Yaani limekua ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume mungu nilindie kizazi changu uwiii wanaume kwanini hivyo lakini?
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
172,870
2,000
IMG-20210818-WA0184.jpg
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
24,526
2,000
Kama izo sio ishu zako puuza na wafukuzie mbali huko, ishu zinakuzwa kwasababu watu wanapenda kuwafatilia sana.

Mambo kama hayo kama hayakuhusu pita ivi, hilo la kusema kusitisha ni haiwezekani sema tu kama lipo kwenye kaya yako basi shuulika nalo ila kama lipo mbali nawe lipuuze. Hizi kufatilia nani kawaje na kawa vipi ni kuwapa umaarufu sana.

Nakupa mfano mmoja mkuu, mtaani kwetu kuna bwabwa na anaufurahia ubwabwa wake kiasi kwamba anafurahia ule umaarufu anaoupata kama hao kina james delicious. Mtu kama huyo jamii ikimpuuza na mambo yake haitaathiri saana kama kila kukicha akawa anaongelewa.

kupuuza inawezekana.lakini sijui kama umewaza kuhusu lika la watoto wadogo wanajifunza kitu gani!!!

nikupe mfano kupitia serikali inavyo handle hili swala.
ni kosa kisheria watu kunyanduana,lakini haiingilii faragha ya mtu au watu,isipokuwa kosa atakapoianika faragha yake.
kama anafanya siri ni sawa tu.
 
Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
9,697
2,000
Blah Blah Blah,

Mashoga walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo, ukiona mtu anashindwa kutengeneza hata sindano lakini yupo busy kuwafanyia utafiti Mashoga basi kizazi chake kina hasara mno.
Wewe shika adabu yako halafu ukome mtizame pale adabu yako ilivyo mbovu kama gari ya takataka.....
 
Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
9,697
2,000
Depression is real,

Seek help.
SO..... according to u, mtu anaepinga, kupiga vita na kukemea na kuharamisha matendo haramu ya kishoga, then huyo individual kwa maoni yako wewe ni kuwa yupo DEPRESSED?!

ARE YOU SURE UPO OKAY KIAKILI NDUGU. CAUSE SERIOUSLY I HATE TO BREAK IT TO YOU, IF YOU ARE OKAY WITH HOMOSEXUALS THEN YOU ARE AS MENTALLY SICK AS THEY ARE AND YOU BOTH NEED HELP.
 
Mwamba 777

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
795
1,000
Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar

Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar

Sidhani kama kuna mtaa dar ambao hauna mashoga mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake haonekani kama ni shoga wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia ukimuona unasema ni kidume wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao

Hapa ofisi nayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu

Sijui kama miaka michache kutakua na wanaume marijali wengi itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8

Hali ni mbaya sana hapa dar kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar hivi tatizo ninini?Yaani limekua ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume mungu nilindie kizazi changu uwiii wanaume kwanini hivyo lakini?
MI NAONA KATIBA YOTE NA SHERIA ZOTE ZA TANZANIA ZIFUTWE NCHI HII IANZE KUONGOZWA KWA MISINGI YA KIDINI NA KIIMANI ZAIDI KAMA SAUD ARABIA.

ATAKAYE KAMATWA NA MUME WA MTU APIGWE MAWE MPAKA AFE.

ATAKAYE KAMATWA SHOGA NAE KUNA NAMNA ZAO ZA KUWAFANYA KULINGANA NA ITIKADI ZA SHERIA ZA KIIMANI NA DINI ZINAVYOTAKA.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom