Watu wanakosoa kazi ya Muumba, aliweka sehemu ya kutolea hewa chafu na vitu ambavyo havihitajiki mwilini, ninyi mnaenda kinyume na Mungu. Mungu anawaona!!
Eti hebu wazia hilo tendo tu halafu mtu anakwambia ni biologically made.... Wakati ni ugonjwa wa kiakili.
 
Nani kakuambia mashoga hawagongi k mzee? Tena usikubali mke wako awe na rafiki shoga wale jamaa wanapiga mashine kama kawaida ila wanapenda kupiga wanaume wenzao, ila ukiona demu wako yuko karibu nao jua huwa anapashwa pashwa mara mojamoja ila siyo starehe zao wanawake.
Wewe umeyajuaje haya....
 
Wewe kijana nina mashaka makubwa sana na wewe. Aidha unajihusisha nao kwa kufanya au unashughulika na zile taasisi za siri zinazopromote homosexuals.

Ila unaonyesha wazi wewe sio m'moja wetu.

So koma tena ukome ukomae kujiingiza katika mijadala ya watanzania tunaokemea hilo tatizo la kiakili. Wewe kama haya mambo yanakufurahisha nenda ubalozi wa mataifa yanayoruhusu uende ukale bata na hao mnaosapoti ila usituletee hizi stories za kipuuzi.

Tena ukome ukome na ukomee.
Hapana umekosea kumshambulia anachosema ni kitu sahihi kwanini umbague ndugu au mwanao kisa amekuwa hivo?? Kuna wengine kweli ni hormones so hapo kumuweka karibu na ikiwezekana hta kumpa treatment za kibaiolojia ili iweze kumuongezea testosterone with time character za kike zitapungua na atakua wa kiume pure. Ila kunyanyapaa ndio kunapelekea tatizo kukua tu maana ataangukia in wrong hands.

Na hapa niseme tu tatizo ni sisi wenyewe.... Kuna jamaa niliona mahala anarubuni madogo wa miaka 10-14 kufanya hizo mambo kule Mbezi Beach ssa unakuta mtoto mdogo hivo akizoeshwa mambo ya ajabu by the time anafika 20 anawezaje kuacha!! Na sio ushoga tu hta watoto wa kike unakuta anaingiliwa akiwa na miaka 10 tena na wajomba zake unadhani akifika miaka 20 atakua anashikika tena??

Ukitaka kujua tatizo la ushoga ukikaa nao hta 5 watakwambia walianzwa na watu wa karibu whether mjomba au jirani n.k . so kabla ya kulaumu mashoga tujilaumu sisi wazazi wenyewe je hatuzalishi hili tatizo??
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar

Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar

Sidhani kama kuna mtaa dar ambao hauna mashoga mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake haonekani kama ni shoga wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia ukimuona unasema ni kidume wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao

Hapa ofisi nayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu

Sijui kama miaka michache kutakua na wanaume marijali wengi itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8

Hali ni mbaya sana hapa dar kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar hivi tatizo ninini?Yaani limekua ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume mungu nilindie kizazi changu uwiii wanaume kwanini hivyo lakini?
Mkiambia msitumie modern FP mnasema watu wazushi na bdo shughuli ndio kwanza imeanza
 
Tanzania na JamiiForums pekee ndo unakuta wanachukia ushoga ila kila siku wanaandika nyuzi kuhusu ushoga...Mtakuwa mnaupenda huo ushoga mpaka mnauzungumzia
 
Wale wanazaliwa hivyo hivyo hakuna cha ukatili mkuu, wana ulemavu na walemavu kama walemavu wengine.

Katika hali ya kawaida tu mwanaume ambaye uko sawa kabisa, huwez kubali kupumuliwa kisogoni kwanza ni udhalilishaji usio na mfano aisee.

Sasa wewe jiulize inakuwaje mtu atake kabisa kupumuliwa kisogoni hata ile aiubu yeye haioni.

Ndo maana nasema ni ulemavu kama sio wa kihisia basi kiakili.
Sio kweli. Ukipata muda ukamuona kijana shoga hebu keti nae na anza kumhoji kuhusu makuzi yake na namna ameanza hayo maswala utajifunza kitu.
 
Dar
Zanzibar
Arusha
Dodoma
Moshi
Mwanza
Tanga
Iringa
Mbeya
Kahama
Morogoro

Ogopa sana hiyo mikoa watoto wakiume wanatoa kisamvu cha kopo balaa
 
Hata humu tunaye mmoja! Amemfuata dada wa watu pm, akamuomba amtafutie eti mtu wa kumtekenya......! Inawezekana ikawa kweli aisee!!

Na hizo chips yai mnazoshindia huko Dar, ndiyo zinawaongezea matatizo zaidi. Poleni sana. Huku Vijijini tuliko, kuna unafuu sana.
Kwani chips Mayai hutekenya mkudu?
 
hata humu JF pia mash**Ga wapo
ukisoma tu comment utajua uyu ni miongoni mwao
rudi tu juu zile comment za mwanzo mwanzo uta uona mchicha mwiba una justify uwepo wa ushopa kua ni halali..
 
you are only free if and only if your freedom does not affect others. I hate home sexuals but since they dont affect my freedom its always non of my business.

Mambo mengine ni ya kuachana nayo tu. Huwaga nafikiria hata hao wanaume wenye moyo wa kuwapumulia wanaume wenzao mgongoni wana tofauti gani na hao mashoga?
 
Huyu instagram ni muongo nambari moja. Mwambie alete hapa ushahidi wenye vielelezo.

Kwa nijuacho mimi hakunaga remix ya jinsia hata iweje. Mwanamke ni mwanamke tuu na mwanaume ni mwanaume tuu.

Kinachotokea ni matatizo ya mvurugo wa kimalezi na makuzi inayokuja kudhuru tabia za watu......
Na kiuhalisia ushoga ni tatizo la akili na saikolojia.
 
Kuna kipindi shirika la JHPIEGO lilikuwa na mradi "unaitwa sauti programm" ule mradi ulikuwa unafanya kazi karibu kila mkoa na project yao ilikuwa ni 5 yrs. Jamaa walikuwa wanadili na mashoga walikuwa wanawapa vilainishi na hela. Yan kijana ilikuwa akienda kwenye ofisi zao akasema yy ni gasho alikuwa anapewa 15000tsh na ky. Wale jamaa nao walichangia kuharibu hiki kizazi
 
Wanaume hatuwezi kuisha mkuu hizo mambo zilikuepo enzi na enzi.

Sema tu sasa hivi ni kama watu hawaogopi kuyafanya hadharani na hata wakigundulika hawaoni jau kwasababu wengi wanajua hayo mambo yapo. Mfano ni huyu kiumbe wa jf, anaefata watu PM.

Usiogope kuzaa mtoto wa kiume mkuu, kitu wanachokosea kinamama wengi ni ile ana mtoto wa kiume maybe wa miaka 8 au 9 na anamchukua kwenda kupiga umbea na mashoga zake.

Mtoto wa kiume kushinda na wanawake mda mrefu hua inawaathiri sana, mwache akacheze na wakiume wanzie aige tabia za kiume na sio zako wewe mama yake. Na kikubwa zaidi tumuombe Mungu.
Chief na hizi tamthilia zilizoongezeka sasa za kusapoti haya mambo, ukigeuka huku kuna yule mtoto Dullyvan, huku instagram kina Juma yule kwisa, noel kale n.k

Issue sio malezi tu, huu upuuzi unapigiwa debe sana sasa hvi, hali inasikitisha sana, unaingia bar kupata starehe zako anakuja mtoto wa kiume anakurambia midomo nae eti anadanga, dah unaeza jikuta unapata kesi na jamhuri hivi hivi

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom