Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,144
Baada ya kuona sasa hakuna njia ya kuiba BOT Serikali ya CHAMA CHA MAJAMBAZI imeanza kutumia mashirika ya UMMA kuchota fedha hazina kwa ajili ya kampeni 2010
Akiongea kwa minajili ya kutotajwa msemaji wa chanzo hicho amesema mashirika ya umma yamkuwa yakichota pesa nying sana hazina na mwisho kushindwa kufanyiwa auditing kujua zimetuka ngapi....baadhi ya mshirika yaliyotumiwa kuchota fedha HAZINA ni ATCL..TRA na sasa wako mbioni kuanza KUCHOTA KWA AJILI YA NIC....habari zaidi zinasema katika kila mgao unaotoka HAZINA chama kina fungu lake ambalo mkurugenzi wa shirika anatakiwa kutafuta jinsi ya kureplace hilo deni kwenye makaratasi...
sijui kama tutafika kwa system hii na kumbe ndio maana hata jf tuandike mara miamoja wananchi walie na kutembea barabarani akuna atakaeguswa kwa lolote kwenye ubadhirifu wa fedha kutokana na kulinda sera za chama cha majambazi.....