Mashirika Ya Ndege yakataa Kumchukua- Ana 407 Kg

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
55.jpg
[h=5]Uzito wa Kg 407 wasababisha Vilma Soltesz kufariki dunia baada ya kukataliwa na mashirika matatu ya ndege kupanda

kwasababu ya uzito wake ili kusafiri kutoka Hungary kwenda US kwaajili ya matibabu ya figo

Mmewe Janos Soltesz aamua kuyashitaki mashirika hayo kwa kusababisha kifo cha mkewe.

Nini maoni yako katika hilo?[/h]
 
Mashirika ya ndege yalifanya ubaguzi na kwa bahati mbaya umesababisha kifo. Hiyo kesi huyo jamaa atashinda si unajua watu weupe walishajenga mfumo wa sheria unaokubalika sana, na una uhuru wa kutosha.
 
Kibiashara it makes sense kukataliwa kwake,on the other,kibinadamu it does not make sense kukataliwa kwake.Je mahakama itaamua kibiashara,kisheria,au kibiashara,huu ndiyo mtihani mkubwa!!
 
Nijuavyo mimi huyo mama inawezekana hakukataliwa (kimsingi), ila inawezekana pia aliambiwa kutokana na ukubwa wa umbo lake ni lazima apande daraja la kwanza (First Class) au Business Class. Asingeweza kutosha kwenye viti vya ndege vya Economy class. Kwa mantiki hiyo kama hakuwa na pesa za kutosha kukata ticket ya madaraja hayo sitashangaa kama hawakumchukua.

Natoa pole kwa familia, lakini tusilaumu mashirika ya ndege kwa kuwa yanaendeshwa na sheria zake. Kiusalama isingewezekana, kwake mwenyewe na kwa abiria wengine pia!
 
Kibinadamu hawakumtendea haki. Anaweza panda economy class na viti kama vinne vinawekwa kwa ajili yake
 
View attachment 72819
Uzito wa Kg 407 wasababisha Vilma Soltesz kufariki dunia baada ya kukataliwa na mashirika matatu ya ndege kupanda

kwasababu ya uzito wake ili kusafiri kutoka Hungary kwenda US kwaajili ya matibabu ya figo

Mmewe Janos Soltesz aamua kuyashitaki mashirika hayo kwa kusababisha kifo cha mkewe.

Nini maoni yako katika hilo?
Achilia mbali ndege, hata kumpa lifti kwenda Mwananyala kwenye ki Vitz changu ingekuwa shida.
 
Nijuavyo mimi huyo mama inawezekana hakukataliwa (kimsingi), ila inawezekana pia aliambiwa kutokana na ukubwa wa umbo lake ni lazima apande daraja la kwanza (First Class) au Business Class. Asingeweza kutosha kwenye viti vya ndege vya Economy class. Kwa mantiki hiyo kama hakuwa na pesa za kutosha kukata ticket ya madaraja hayo sitashangaa kama hawakumchukua.

Natoa pole kwa familia, lakini tusilaumu mashirika ya ndege kwa kuwa yanaendeshwa na sheria zake. Kiusalama isingewezekana, kwake mwenyewe na kwa abiria wengine pia!

Nakubaliana na wewe!
 
i read this on yahoo asubuhi. mashirika ya ndege tried everything they could lakini ilishindikana. personally, she shouldn't have travelled in that condition w/o her doctor na sidhani kama mume atashinda kesi. RIP madam :(

edit:full story here
  1. obese-woman-denied-flights-home-dies-abroad-191137549--abc-news-topstories
  2. International/husband-obese-woman-blames-airlines-death-european-vacation

Basi husband haache tu akubaliane na ukweli kama walijaribu kumsaidia ikashindikana, vitu vingine viko nje ya uwezo
 
washtakiwe kwani wamekiuka haki yake kama binadamu.

itategemea ni MASHARITI gani walio mpa mpaka nae akashidwa kuyatimiza sababu kubwa umbile lake anatakiwa akalie viti 2 mpaka 3 je alikubali kulipia hizo Sit 2 ????.ingebidi mtu 1 abaki ambae tayalia alishalipia Sit.. je wewe ungekubali kubakia ili Bonge aende bila kuludishiwa nauli yako??? tuangalie pandezote je ww ungekua ndio Maneger wa shilika landege ungemchukua kwa nauli I lakini anamiliki sit 2 ????....
 
Ni kweli kabisa..hawakumtendea haki

kwenye ndege inapo tua na inapo luka ni lazima Pasenger afunge mkanda je huo mwili Mkanda unatosha??? je anaenea kwenye kiti 1 ?? sasa je kwa usalama wake ingekua haki kamchuka Abiria kwa safindefu haina hiyo bila kufunga mkanda ??huoni kulikua na tatizo la msingi hapo ??? tusione kaonewa hunda angifi ndani ya ndege je ingekuwaje nani angemlipa mwenzie hapo ??? tungoje utetezi wa mashilika ya ndege utakuwajee????
 
Haya Mashirika mbona yanapata faida sana,hivi kurudisha kile ulichopata kwa watu wenye shida nayo inawashinda?Kwanini wasingekubali kununua hizo siti ambazo huyo mama angekaa?
R.I.P Mama
 
Back
Top Bottom