real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Mashirika ya kutetea haki za kibinadam nchini Tanzania yamesema hadi sasa haki za binadamu zimeonekana kuvunjwa katika sakata la mchanga wa madini kutokana na usiri wa mikataba, haki za kimazingira na kimaendeleo.
Ufafanuzi huu unakuja siku moja baada ya rais Dokta John Magufuli kupokea ripoti ya pili kuhusu biashara ya madini ilioangazia mikataba, ulipwaji wa kodi pamoja na usafirishaji wake kwenda kwenye mataifa yaliyoendelea kiviwanda.
Chanzo: DW