Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 370
Wana JF,
Hizi Electronic System Device za TRA jamini zilipaswa kufanyiwa uchunguzi sana kabla ya kufanya installation zake kwanini nasema hivyo, Tulipoamua tuingie kwanye mfumo wa Soko huria kweli hatukuja nini kitakuja mbeleni esp kwa ukusanyaji wa Mapato kila Raia au mfanya biashara alijitungia system yake ya kuuza means watu walikuja na software zao madukani kukidhi kile wao watakacho sasa TRA ikaja nyuma baada ya miaka mingi kushindwa kubuni ni jinsi gani ya kukusanya mapato na ndio ikaja na hiyo system ya ESD wengine wanaziita EFD, ukiangalia kwa umakini utakuta watu wengi wametupilia mbali system zao au software zao kwa ajili ya mfumo huu mpya wa TRA ambao kwa kipindi hichi watumiaji wengi wata experience alot of troubleshooting ambayo TRA wanapaswa kuivumilia na hapo hapo sidhani kama TRA wa expertise wa kuicheck hizo system interms of Handle the Whole Database storage za wateja wao.
Nacho hofia sana TRA ilisha kuja na style nyingine ya kutuma Emails na unatuma mahesabu yako kwa mwezi na ikafa na niliipinga live kwa email hadi makao makuu kuwaambia system yao imekuwa Unsuccessful, sasa wamekuja na hizi za wireless machine sijui waliziiga toka nchi gani hapa twacheza pata potea in two years mtaniambia kama serikali haitobadili mfumo wake na kuwa black and white then tutakuwa twatwanga maji kwa kinu miaka ijayo yote na tutakuwa twapoteza mapato huku watu wajanja wanakula Kodi za watanzania bure