Mashine za meno husababisha kansa

PROCUC SYSTEM

Member
Feb 6, 2012
10
3
Tianjie Dental Falcon(a dental hand-held X-ray machine) ina madhara makubwa kwa watalaamu wa meno, pia na kwa wagonjwa wa meno waitumiapo. Kuna hatari kubwa ya kupata kansa na kusababisha uharibifu wa organ za mwili kutokana na utumiaji wa mashine hiyo. Mashine hiyo hutoa mionzi ambayo huenea sehemu zote za kichwa(fuvu na ubongo) cha mgonjwa na wala sio mdomoni tu pindi mashine hiyo inapotumika. Madhara haya yameelezwa na wanasayansi huko London katika hospitali iitwayo King's College Hospital.


Kwa maelezo zaidi tembelea: http://m.bbc.co.uk/news/health-20579318
 
duh ! Basi kazi ipo , maana researh za hao jamaa huwa hazina longolongo .
 
Back
Top Bottom