VYUNGU VYA KUTOA JOTO KWA VIFARANGAMpo mkoa gani?
Shukrani mkuukutengeneza lazima uwe na maarifa ya umeme&na idea za ufundi mdogo mdogo,
lakini si lazima unaweza ukaanza na manual tu bila kuhitajika maarifaa yoyote
Ingia YouTube utapata maujanja mengiWakuu habariiii...
Naomba mnipe utaalam wa kutengenezea incubator jamani natamani sana kuwa na kuku wa kutosha ila ndoto inanifia pua kwa kutokuwa na hii mashine na uwezo wa kununua dukani ni mfinyu kidogo...
Anaweza kutengeneza kerosene incubator piakutengeneza lazima uwe na maarifa ya umeme&na idea za ufundi mdogo mdogo,
lakini si lazima unaweza ukaanza na manual tu bila kuhitajika maarifaa yoyote
Mi naweza kutengeneza machine inayotumia mafuta ya taa, mfano machine ya trey 4 (mayai 120) inaweza kugharimu si zaidi ya 100,000/= kwa material pekee.Wakuu habariiii...
Naomba mnipe utaalam wa kutengenezea incubator jamani natamani sana kuwa na kuku wa kutosha ila ndoto inanifia pua kwa kutokuwa na hii mashine na uwezo wa kununua dukani ni mfinyu kidogo...
Tupe uzoefu wako katika matumizi ya hiyo incubator na faida zake kulingana na uzoefu wako, pia aina ya incubator unayotumiaHabari?
Wanajamvi,nimenunua mashine ya kutotolesha vifaranga hivyo napata changamoto ya malighafi yaan MAYAI. Hivyo nanunua mayai YA KIENYEJI yawe yanatokana na kuku halisi wa KIENYEJI.
Mwenye nayo au anaemjua supplier yeyote anayeweza niuzia mayai 500 kila mwezi kwa miezi 4 tuwasiliane PM kwa makubaliano ya bei na mengineyo.
Mimi napatikana Mbeya na vizuri kama supplier atakuwa mbeya na maeneo ya jirani yaan sumbawanga,tunduma,songwe,mbalali,makambako,njombe,iringa,na morogoro
Asanteni!.
Mi naweza kutengeneza machine inayotumia mafuta ya taa, mfano machine ya trey 4 (mayai 120) inaweza kugharimu si zaidi ya 100,000/= kwa material pekee. Hii estimation ni kwa bei za material ya DSM
Niwe mkweli,ufanisi wa hizi machine za mafuta hutegemea na operator ambaye ni wewe. Temperature na egg turning unafanya wewe manually,ukiyaweza hayo basi ufanisi unakua ni mkubwa tu provided that eggs are fertile to be incubatedUfanisi wake ukoje?
samahani mkuu kwa kuchekewa,natumia Jf app ambayo kupata notification kwa wakati ni shida kidogo kwa upande wangu.Mkuu. Hammy Js samahani Kama unauzoefu kwenye hili!
Hivi ni kweli mayai yakisafirishwa umbali mrefu kiini kinachanganyika kiasi kwamba inaathiri utotoleshaji?
Nahisi Kuna MTU amenipiga panga hapa
Kajole , CHASHA FARMING naomba mawazo yenu
#kiufupi ni kwambasamahani mkuu kwa kuchekewa,natumia Jf app ambayo kupata notification kwa wakati ni shida kidogo kwa upande wangu. Huku nimeingia baada ya kupata notification ya like, kiufupi ni kwanza yai linapopata mitikisiko ya namna hii uwezekano wa kuharibika ni mkubwa sana sijajua kama kuna njia nzuri inayotumika kuyahifadhi wakati wa kuyasafirisha ili kuyaepusha na mitikisiko hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Una fanyejesasa hapo, toa maelekezo vizuri basunaweza tafuta box la mbao ,bulb mm natumia watt 60 ,thermometer ,na kibeseni cha maji