Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Habari zenu wanajamvini,

Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku, sasa kidogo biashara yangu imepanuka, nahitaji mashine ndogo ya kutotoleshea vifaranga.

Naomba mnisaidie bei na mahali zinapopatikana, nitashukuru kwa msaada wenu.


--------------------

Nasi pia tunauza Automatic incubator mayai 7, 48, 96, 106 kutoka China.Anaehitaji aweza kuni PM

Nahitaji incubata broo
 
Nipe order nitakuletea kutoka uk, ni mp, bei pounds 120
Egg 96

jamaa kasema anataka kuona hio ya 96eggs so weka picha aone and then ataweka order, we wataka aweke order bile kuona nini anachonunua???? au ndo mambo ya kigumashi/kitomari??????
 
jamaa kasema anataka kuona hio ya 96eggs so weka picha aone and then ataweka order, we wataka aweke order bile kuona nini anachonunua? au ndo mambo ya kigumashi/kitomari?

48 eggs, 96 eggs, hii unaweza kuifanya kuwa ndogo na Kuzalisha 48 eggs kama hio ya juu.
1444639715434.jpg
1444639743921.jpg
1444639844468.jpg
1444639857293.jpg
1444639873283.jpg
 
jamaa kasema anataka kuona hio ya 96eggs so weka picha aone and then ataweka order, we wataka aweke order bile kuona nini anachonunua???? au ndo mambo ya kigumashi/kitomari??????

View attachment 297795mlimani city incubator kama hii inaizwa one milion unbelievable. Nenda kwenyewe kajionee, katika supper market zile.
 
Wadau naomba msaada wenu. Mimi ni mjasiliamali anayejishugulisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji. Shida yangu ni Incubator mashini ya kuangulia mayai. Sijawa na mtaji wa kununulia incubator halisi ila nataka nianze kwa jinsi ya kiasili kabisa ya kuangua mayai japo kati ya 25 hadi 40 ili kuokoa mayai mengi yanayoharibika kwa kuachwa na kuku mwenyewe na pia ili kupata vifaranga wengi kwa wakati mmoja. Sasa niliambiwa kuna njia fulani ya kutotolesha mayai bila kutumia incubator. Naomba msaada kwa anayefahamu.
Naomba kutoa hoja

Eggs 48, iko vizuri sana, View attachment 297797 Kutoka uk sio China, ina ubora wa hali ya juu, ni mp kama unahitaji I will help you.
 
Nimeipenda hii so ningependa kuipata na kuitumia katika shughuri zangu nijulishe nawezaje kuipata?/
 
Mimi nauza incubator kama hizo,za mayai 96,Kwa tsh.600000, laki sita, na za mayai 48, kwa tsh.350000, laki tatu na nusu, karibuni mburahati msikitini, uliza mwakalinga general enterprises.

Pia tunaunda incubator full automatic kwa gharama nafuu, kwa mfano ya mayai 528, tunauza kwa tsh.1,500,000.

Wasiliana nasi, 0784413039.

utapewa semina za utumiaji, huduma kwa mteja bure, elimu ya ujasiliamali bure.
karibuni sana.
 
Kwa aliye serious an I pm nimlink na local manufacturer aliyeleta 88 incubator bora kwa bei poa. Ya 200 eggs just laki 4 semi automatic machine.95% efficiency na inatumia nishati zote kasoro jua!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom