Mashine za kupukuchua mahindi zinahitajika

masai dada

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
15,672
12,331
zinapatikana wapi na shilingi ngapi

na ni za aina gani
msaada wenu wakuuu
kama dar zinapatikana wap
 
zinapatikana wapi na shilingi ngapi

na ni za aina gani
msaada wenu wakuuu
kama dar zinapatikana wap

Umeipata tu nayo na iko turiani morogoro
Inaweza kwa siku kupakachua na ukapata gunia hata 70 za mahindi kwa siku
Karibu 0715591141
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom