mashine za kuchapa.typewritter machines...

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,870
kwa daresalaam machine hizi zinapatika wapi?
na bei zake.....

hivi kuna duka linaluoza hizi still????????
 
Mkuu kwa zile typewriters za zamani kabisa labda upate used kwa mtu ambae anataka kuiuza..; lakini kwanini usitumie electronic typewriters hizi za kisasa ambazo zina features zote za typewriters lakini uzuri ni kwamba kama ukikosea badala ya kuhangaika na mambo ya wipe out fluid.., unabonyenza tu delete inafuta.., lakini uwekaji karatasi na mambo mengine yote ni typewriter na sababu ni electronic huitaji kupiga keyboard na nyundo...

Anyway jaribu kuwaona BMTL kwa dar (sijui kama wanazo) au Olivetti (nakumbuka hawa jamaa ndio walikuwa na zile typewriters nyingi cheki kama dar wana ofisi)

Apart from that jaribu kuongea na mafundi copiers na technicians sababu wanatembelea kwenye secretarials nyingi watakuwa wanajua mtu ambae anataka ku-dispose mashine yake..

Kama unajua mtu nje au unaweza kununua kutoka nje basi hapo ni rahisi google tu typewriters for sale utapata nyingi..) ila kama unapenda sana hizi nzee nimeangalia ebay na zipo nyingi tu wengine wananunua kama ukumbusho na collection cheki hapo chini:-

typewriters | eBay
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom