Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,108
- 37,644
Mnaonunua hizo Mashine nawakumbusha tu... mnahitaji kuwa na vibali coz mmeshakuwa wamiliki wa Viwanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hiyo kama cherehani umesahau ushauri wa KaijageMnaonunua hizo Mashine nawakumbusha tu... mnahitaji kuwa na vibali coz mmeshakuwa wamiliki wa Viwanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekulipa angalia salioUmelipia tangazo?
Karibu sana chukua namba hiyo mashine za miwa aina zote
Uwezo wake wa kukamua upoje kwa saa?Utajibiwa hapahapa mashine za juice ya miwa millioni moja na laki mbili na nusu tu inakamua na kuchuja yenyewe tupigie 0762612213
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh. huyu yupo wapi kwa sasa?
Mh Kaijage mzee wa viwandor yupo mjengoniMh. huyu yupo wapi kwa sasa?
Sent using Redmi Note 7 Pro
ina uwezo wa kukamua miwa zaidi ya 200 kwa siku na inakamua juice yote bila kuacha chochoteUwezo wake wa kukamua upoje kwa saa?
Sent using Redmi Note 7 Pro
Kwa sasa installment tunakubali tupigieHongera mkuu. Unakubali instalment?