INAUZWA Mashine za juisi ya miwa tupo Kariakoo

meshakiJr

JF-Expert Member
Mar 19, 2021
289
147
Unahitaji mashine zilizo bora nakushauri jipatie mashine kutoka kampuni la strongtech bei yake million moja na laki mbili na nusu tu (1250000)

Sifa kuu inakamua na kuchuja yenyewe na kuicha juisi yako katika hali ya usafi pia inatumia umeme kidogo tu na urahisi wa kuitumia hii mashine mtu mmoja anaendesha vizuri kabisa.

Uwe mdada au mkaka pia eneo lake hata likiwa dogo unaendesha hii mashine
Inatumia umeme wa majumbani single phase
Zinapatikana kariakoo mtaa wa masasi na Tandamti
Karibu sana mawasiliano 0774150519


Tunatoa waranti ya mwaka mmoja kwa kila mashine kutoka kwetu strongtech.​

IMG-20181125-WA0037.jpg
FB_IMG_1616006927802.jpg
 
Hakuna machine ndogondogo kwa matumizi binafsi ya nyumbani?kama zipo bei zake zipoje?
Napenda sana juice ya miwa napenda nitengenezewe nyumbani
 
Hakuna machine ndogondogo kwa matumizi binafsi ya nyumbani?kama zipo bei zake zipoje?
Napenda sana juice ya miwa napenda nitengenezewe nyumbani
Kwa hapa dukani tunazoleta za kibiashara ndugu yangu ila ukihitaji ndogo hukosi hapa kariakoo karibu sana ukikosa basi unaweza ukaja dukani utaagiziwa karibu dukani mtaa wa masasi
 
Ni mzuri sana kwa muonekano ila ubora wake sijajua kulinganisha na hizi za kubumba hapa bongo.
Kiubora zipo vizuri sana mkubwa na ndio maana tunakupatia waranti ya mwaka mmoja kuonyesha ugumu uliopo mashine za strong tech karibu sana
 
Mashine za juisi ya miwa inakamua na kuchuja yenyewe pia umeme mdogo sana zipo
Screenshot_20210324-110943.jpg
 
Mashine za juisi ya miwa zinazo Chuja na kukamua na ulaji wa umeme kidogo sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom