Mashine za ice cream na chockstic zipo jipatie yako msimu Wa joto umeanza

Job Richard

JF-Expert Member
Feb 8, 2013
3,865
2,169
NAJIDAKIA STORE WANAKULETEA

Jipatie mashine ya kutengeneza ice cream na chockstick au lamba lamba

Mashine ya ice cream ni imara unaweza kutengeneza takribani Lita 200 Kwa siku na umeme kidogo hii ni million mbili na Laki sita (2,600,000) ni Mpya kutoka China.

Mashine ya chockstick au lamba lamba hii inatengeneza piece 40 Kwa pamoja
ndani ya dakika 15-20 ishazingandisha.

Utafundishwa namna ya kutengeneza hivi vyote ice cream na lamba lamba hii utaipata Kwa million mbili na Laki tano (2500000 used) mpya 3,000,000 millioni tatu tu zimebaki chache wahi hizi mashine.

Tupigie 0659567058 hapa maulizo yote ya kila mashine store yetu Ilala View attachment 1130986
IMG_20190212_100809_347.jpeg
View attachment 1130991View attachment 1130988
 
NAJIDAKIA STORE WANAKULETEA

Jipatie mashine ya kutengeneza ice cream na chockstick au lamba lamba

mashine ya ice cream ni imara unaweza kutengeneza takribani Lita 200 Kwa siku na umeme kidogo hii ni million mbili na Laki nne na nusu (2450000) ni Mpya kutoka china

Mashine ya chockstick au lamba lamba hii inatengeneza piece 40 Kwa pamoja
ndani ya dakika 15-20 ishazingandisha ..
Utafundishwa namna ya kutengeneza hivi vyote ice cream na lamba lamba hii utaipata Kwa million mbili na Laki tano (2500000) zimebaki chache wahi hizi mashine
Tupigie 0762612213 ofisi mbezi beach hapo maulizo yote ya kila mashine
store yetu kipawa View attachment 1130986View attachment 1130992View attachment 1130991View attachment 1130988
Picha zaidi hapa
IMG-20190125-WA0023.jpeg
FB_IMG_1558335197804.jpeg
IMG-20190303-WA0005.jpeg
 
Mashine ya ice cream zinapatikana pia Chockstick zipo chache miwa weka oda 0659567058
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom