Mashine za BVR zafeli kufanya kazi! Hazitambui wenye macho mekundu

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
259,872
699,255
Ni mashine zisizofaa hata kwa uchaguzi wa kitongoji, zina matatizo mengi mno, zinazima zinajam kila muda na hurudi kufanya kazi baada ya dk 15-20, mbaya zaidi haziwezi kupiga picha watu wenye macho mekundu kwakuwa sensor zake hazitambui macho mekundu
Tukumbuke hizi mashine kwa upande mmoja zilisifiwa sana na serikali kuwa ni bora huku upande wa upinzani wakizitoa kasoro nyingi na kwamba zimefeli kwenye nchi nyingi

Hii ni kashfa nyingine kwakuwa fedha iliyotumika ni zaidi ya bilioni mia mbili...TUSUBIRI
 
Inakuwaje kwa wale ambao ni walemavu wa macho na wale ambao hawana viganja vya mikono,mbona TUme ya UCHAGUZI imekaa kimya?
 
Hizo mashine walizonunua ni za quality ya chini kabisa ila hela wamepiga cha juu kikubwa.
 
Kenya hazikufanya kazi na matokeo yake ziliwasaidia kuchakachukua matokeo ili mkikuyu Kenyatta amrithi mkikuyu Kibaki. Hilo ndio lengo la ccm.
 
These are the signs of the end. Serikali makini isingethubutu kununua BVR. Hakuna zilipofanikiwa duniani. Sembuse TZ! Pili, hiyo bei si sahihi. Cha juu, kama kawa kimepigwa.
 
Haijarogwa sisi ndi wehu kwa kuendelea kukumbatia nyuki matokeo yake nadhani tunayajua.
Huu ndio ukweli. Mbali na hapo ni kuwa haya madude yameproof failure sehemu yalikojaribiwa hasa huku kwetu Afrika. Mfano ulio wazi ni Kenya na Ghana.
Kikubwa ni usafi wa mioyo na nia yetu maana unakuta wengine wanaweka mfumo takao warahisishia kuiba kura, kupata 10% (50% siku hizi) bila kujali zimedeliver kinachotakiwa pamoja na ujinga wetu!
 
Kuna chama wanasema wafuasi wake kwa gongo, bangi, mirungi wamevunja rekodi, so bvr imeanza kuwa chuja.

Kwa kenya hizi machine zilikuwa zinatoa matokeo yenye constant number ambayo ilikuwa inamatokeo sawa na yale yaliyokuwa yanatolewa na kura za maoni.
 
Back
Top Bottom