Mashine yenye kitotoleshi na kiatamazi

CathLiv

Senior Member
Mar 11, 2017
112
52
MASHINE BORA KWA UZALISHAJI BORA.

TEC INCUBATOR & POULTRY CONSULTANCY tupo kwa ajili ya maendeleo ya wazalishaji wa kuku, bata, kware na kila aina ya ndege wafugwao.
Kwa kukuhakikishia hili tumekuletea mashine bora zenye kiatamizi na kitotoleshi (HATCHER & INCUBATOR) kwa pamoja.

Zipo katika aina tofauti viwango vya ubebaji mayai...(CARRYING CAPACITIES)...ni kuanzia mayai 48, 96, 112,...,....mpaka 5280 ni wewe tu kwa gharama ya kuanzia Tshs. 380,000 na kuendelea....
CALL/WhatsAPP..+255 769321005

UBORA.
-Zinatoa matokeo mazuri mpaka 95%

-Zinatumia umeme kidogo.(LOW ENERGY CONSUMPTION)
-Zinabebeka. (PORTABLE)
-Zipo zenye kutumia umeme wa kawaida TANESCO,, SOLAR,, BETRI ZA GARI n.k.
-Zina warranty ya mwaka mmoja.

PIA:
Unaweza kuchukua kwa mkopo 50% (Mashine yenye kubeba mayai 328) na inayobaki kulipwa kidogo kidogo kwa miezi mitano..
Ushauri pia tunatoa kwa taasisi, binafsi na shirika husika.
Kwa hayo na mengine mengi tuwasiliane..
+255 769 321 005
Email: mmerchadesrugarabamu@gmail.com
http://www.jamiiforums.com/mobile-
gallery/152d5253da6464c6ca20b9668f36b379.jpg
 
Back
Top Bottom